TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

Nakumbuka kuna siku Sauli aliweka challenge ya mtu kula mayai ya kuchemsha trei moja.

Kuna mwamba alikuwa anaitwa Jose tulikuwa tunamuita jina la utani Coliver.

Huyu jamaa alipita na mayai 30, wakati Sauli anashangaa jamaa kawezaje. Jamaa akaomba apewe na Coca ashushie.

Vijana wa Chunya wakawa wanamtania Coliver, wakasema "daah hapo mwanangu usiku hauna haja ya kuchoma dawa ya mbu kwasababu mbu utakuwa unawaua tu kwa ushuzi"
 
Usafiri barabarani Tanzania tunatembea na roho mkononi.

Unaweza ukajilinda na kufuata sheria za barabara lakini mjinga mmoja akakusababishia ajali.

Serikali nayo kila ajali ni kulaumu madereva hivi hawaoni barabara zilivyo finyu, kesi za malori na mabasi kugongana ni ufinyu wa barabara, sio kila siku kulaumu madereva, miundombinu iboreshwe.
 
Alikuwa na Jeep huyo mkuu, usisingizie toyota. Japo wengine wansema ni mdogo wake
Hatari sana aisee hizi ajali.

Ndio maana kuna ulazima wakuhatakisha hii SGR network na usafiri wa ndege uwe sasa rahisi na route ziwe nyingi na za mara kwa mara maeneo mengi.

Watanzania tunapoteza Sana maisha barabarani aisee, uzembe, Barabara zetu + hizi gari nyepesi za kijapani ndio hatari zaidi.

Iweke mkuu. Gari gani ilikuwa?
Ni jeep mkuu... chuma imeisha kabisa
 
Usafiri barabarani Tanzania tunatembea na roho mkononi.

Unaweza ukajilinda na kufuata sheria za barabara lakini mjinga mmoja akakusababishia ajali.

Serikali nayo kila ajali ni kulaumu madereva hivi hawaoni barabara zilivyo finyu, kesi za malori na mabasi kugongana ni ufinyu wa barabara, sio kila siku kulaumu madereva, miundombinu iboreshwe.
kweli mkuu mimi nikiwa barabarani naogopa sana hasa mabasi namaroli wanakupoteza muda wowote😕😕😕
 
Back
Top Bottom