Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa tu na Sandaland badala ya Sanda, just a business nameKwanini aliamua kuita SAULI na sio SOLOMON?
R.I.P bwana Solo
Daaah yaani jamaa vaa yake simple sana kuanzia chini mpaka juu..They have nothing to prove.
Hii SGR isambae nchi nzima tu. Mimi njia ya Dar-Moro-Dom situmii tena bus au gari binafsi. It's too dangerous.`Madereva wote, najua kuna baadhi wamejiunga na JF ila mjitahidi kuwa makini barabarani, kosa dogo tu linaweza kusababisha kifo chako na abiria wenzako.
Ushauri wangu kwenu mtumie nguvu kubwa kuepuka kosa dogo.
Kuna makosa yanatokea nje ya uwezo wenu haya mna msamaha kwa mola.
Usalama mia wakati gari limepondeka namna hiyo? Kagongwa kwa nyuma na Fuso naye akaenda akaparamia lori la mchanga kwa mbele. Ila mtoto wake wa miaka minne katoka salama mbali na michubuko tu ya hapa na pale. Miujiza 🙏🏿Alafu machine yenyewe ni kama jeep hivi ,zile wanasemaga usalama mia, Mungu amrehemu