binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba ulimuona huyo kuku anavudonoa punje za mahindi!?UTAJIRI WA PUNJE ZA MAHINDI BANA!
Bundi na nyani ndio kikwazo kikuuHii SGR isambae nchi nzima tu. Mimi njia ya Dar-Moro-Dom situmii tena bus au gari binafsi. It's too dangerous.
🤣🤣AiseeeeeNdo maana matajiri wengine mkataba ukifika wanajipiga risasi au kujinyonga ili wasiende kuzimu kumalizia muda uliobakia,maana shetani achukui kibudu.
Ya sirini yaachie huko hukoKwamba ulimuona huyo kuku anavudonoa punje za mahindi!?
Ajabu yake yanaelezwa utadhani yalishuhudiwa.Ya sirini yaachie huko huko
Umeongea kweli kabisa mkuuMpambanaji huwa hana mda wa kujibling bling
Aliingia kichwa kichwa kwa biasharaHawa watu wa mabasi wanarogana sana tatizo.ila jamaa alianza kufirisika pia nadhani
Kuku alikula punje ngapiTajiri wa mabasi ya Casablanca huku Kahama naye yalimkuta haya haya.
Umeaona enheeeee😂😂😂😂Ngoja nisubiri comment fulani hivi najua itakuja tu japo kuna mtu juu hapo kashaanzisha tayari.
Ma ajent wamejaa ,Mchek chief good love,manyaunyau🤣🤣Aiseeeee
Anayesainisha mikataba anapatikana wapi?
Maana kheri tukasainishwe nasi tule bata japo mwaka mmoja.
Maana huyu mwamba kwa muda mfupi tu lakini alivuma sana.
Hatari Sana SanaSijui aligonga nini Jeep imeisha aisee
Achana na mitanzania inayoamini katika ushirikina, kutwa kujadiri simba na yanga, wapambanaji wakitoboa wanazushiwa wanalogwa. Poor countryKwamba ulimuona huyo kuku anavudonoa punje za mahindi!?
Ma ajent wamejaa ,Mchek chief good love,manyaunyau uconnectiwe na malkia wa pwani🤣🤣Aiseeeee
Anayesainisha mikataba anapatikana wapi?
Maana kheri tukasainishwe nasi tule bata japo mwaka mmoja.
Maana huyu mwamba kwa muda mfupi tu lakini alivuma sana.
Hatari Sana SanaSijui aligonga nini Jeep imeisha aisee
Tajiri mjasiriamali hana makuu.Hivi kwanini matajiri wanavaaga simple tuu