TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

Nakumbuka Mzee wangu alikuwa na ka kanuni hakuna kupanda gari moja, au basi moja familia nzima hasa masafa marefu mkoa kwa mkoa.
Gari iwe ya familia au basi mtasafiri tofauti, hamna basi mtasafiri siku tofauti kwa mafungu. Niliwahi muuliza Mzee wangu kwanini anafanya hivi, alinijibu kifupi tuu "Nina uzoefu wa magari kukuzidi wewe na hakuna tunakowahi". 😁

Hii mipira ikidesa inachinja familia nzima. Mbeya wamefiwa aisee.
 
Hii Mlandizi pana Shida, hata Tajiri wa Kisangani Spare parts Ajali

🤣🤣Aiseeeee
Anayesainisha mikataba anapatikana wapi?
Maana kheri tukasainishwe nasi tule bata japo mwaka mmoja.
Maana huyu mwamba kwa muda mfupi tu lakini alivuma sana.
Sauli ni tajiri wa miaka mingi sana mkuu, sema amekuwa maarufu baada ya kununua mabasi.
 
Back
Top Bottom