ZVI ZAMIR
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 921
- 2,163
Nikajua Selemani ndio kiswahili cha Solomon.Solomon ni kiingereza na Sauli ni kiswahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua Selemani ndio kiswahili cha Solomon.Solomon ni kiingereza na Sauli ni kiswahili
Kuna hii nyingine ya juzi juzi hapo baada ya Magufuli kudhibiti uuzwaji wa dhahabu nje ya wilaya.Nakumbuka kuna siku Sauli aliweka challenge ya mtu kula mayai ya kuchemsha trei moja.
Kuna mwamba alikuwa anaitwa Jose tulikuwa tunamuita jina la utani Coliver.
Huyu jamaa alipita na mayai 30, wakati Sauli anashangaa jamaa kawezaje. Jamaa akaomba apewe na Coca ashushie.
Vijana wa Chunya wakawa wanamtania Coliver, wakasema "daah hapo mwanangu usiku haija haja ya kuchoma dawa ya mbu kwasababu mbu utakuwa unawaua tu kwa ushuzi"
Ngoja nisubiri comment fulani hivi najua itakuja tu japo kuna mtu juu hapo kashaanzisha tayari.
Kesi iliyopo mahakamani polisi hawanaendelei ku seize mali ya mtuhumiwa inakabidhiwa Mahakama akishinda kesi anaerudisha mali ni mahakama polisi hana power ya kuzuia.Kuna hii nyingine ya juzi juzi hapo baada ya Magufuli kudhibiti uuzwaji wa dhahabu nje ya wilaya.
Sasa Sauli alidakwa alikuwa na wenzake anatorosha hizo dhahabu.
Akawekwa jela wakati huo alikuwa akitamba na gari yake ya Amarok. Polisi wakai-seize hiyo gari wakati jamaa yupo jela.
Katika harakati za kuhangaika kutoka jela, jamaa akatoa toa hela mwisho wa siku akaachiwa.
Sasa wakati anaachiwa zile lile gari yake bado ikawekwa kizuizini.
Jamaa akamwambia afande "naomba unirudishie gari yangu kama ambavyo umenirudishia mkanda wangu wakati natoka jela"
Sidhani kama hata kesi hiyo iliamuliwa mahakamani, nadhani zilitembezwa hongo tu kwa mapolisi kuua soo.Kesi iliyopo mahakamani polisi hawanaendelei ku seize mali ya mtuhumiwa inakabidhiwa Mahakama akishinda kesi anaerudisha mali ni mahakama polisi hana power ya kuzuia.
ILe gari ukiiangalia hata hujui imegongwa mbele ama nyuma maana kote nyan'ganyan'gaIle video ya ajali yake inasikitisha sana
Tusikimbie na magari wakuu
RIP Saul. Uliiheshimisha tasnia ya usafiri wa mabasi nchini Tanganyika.Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury.
Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na ilipopata ajari basi yake mapema mwaka huu Kibaha na kuwaka moto na yeye pia mmiliki ajari imemwondoa maeneo ya Mlandizi leo hii asubuhi akiwa na gari binafsi
Atakumbukwa kwa kuleta upinzani wa huduma na kufikisha abiria kwa haraka kampuni zake kwa wasafri wa nyanda za juu kusini.
Hasa kwa sisi wanazi wa Scania tutamkumbuka sana mwamba kwa kuziheshimisha Scania road.
Rest in peace Mwilabila Sauli
Nilijua ni wa pale Tukuyu (Ushirika) kumbe ni mzaliwa wa ChunyaMmiliki wa Mabasi yaliyokua yakiitwa Sauli sio Tajiri wa Tukuyu Landmark?
Ile video ya ajali yake inasikitisha sana
Tusikimbie na magari wakuu