Kwenye sector ya taka, ndicho kichaka cha wakurugenzi, watendaji kata, watendaji wa mitaa, wenyeviti wa mitaa na shirikishi (migambo uchwara) kwenye jamii.
Wananchi wanaibiwa waziwazi na wawakilishi wa serikali, nihatari sana.
Uchaguzi wa serikali za mitaa oc 2024 uwe ni fursa ya wananchi kuwezesha upatikanaji wa viongo sahihi husun huku chini ambako ndiko wananchi wanateswa.