A
Anonymous
Guest
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao.
Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa uonevu pindi anapopishana na watumishi hao.
Mfano, Kuna dereva na Transport officer wamepelekwa wakaripoti Shule za sekondari hapo ni baada tu yakupishana nae.
Pia ni mtu anayebania na kula posho za watumishi wa chini.
Ningeomba mamlaka zimchukulie hatua stahiki Mkurugenzi huyu.