Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kujenga bweni la wavulana 80 kwa Tsh 150,000,000/= Ni upigaji mkubwa

Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kujenga bweni la wavulana 80 kwa Tsh 150,000,000/= Ni upigaji mkubwa

Laymen Wakiona 150 mil wanapagawa ni hela ndogo

Ukidadavua kitaaalamu hakuna hela hapo

Huwa namshangaa kasimu majaliwa kuingizwa mkenge kwenye hizi issue za kitaalam

kama vile ujenzi hufanywa na majini sio binadamu wanaotakiwa kulipwa na kupata faida pia
PM Alisema eti nyumba za walimu ni 25m asee hadi unajiuliza ni kwamba yeye hajajenga au kujitoa ufahamu ila Siasa za Tanzania n ngumu sana.
 
Laymen Wakiona 150 mil wanapagawa ni hela ndogo

Ukidadavua kitaaalamu hakuna hela hapo

Huwa namshangaa kasimu majaliwa kuingizwa mkenge kwenye hizi issue za kitaalam

kama vile ujenzi hufanywa na majini sio binadamu wanaotakiwa kulipwa na kupata faida pia
Weka BOQ hapo.

Tunaongelea mtu tunayemfahamu hatubahatishi
 
150m inaweza kuwa gharama ya kawaida sana, sidhani kama kuna upigaji wa kutisha hapo. Muhimu utwekee michoro ili wajuvi wa kukadiria wakupe hesabu kamili. Ila 150m kwa watu 80 sidhani kama wamepiga.
 
H

Tunaomba mchoro WA Hilo bweni!!

Cha kushangaza, kutakuwa hakuna vitanda Wala makabati Wala vyoo.

Mkandarasi aliyekuwa anajenga majengo ya serikali bila kiwango, kule mwanga DC , wakati bibi huyo akiwa DED, ndiye amehama naye anajenga tena soko la mbuyuni huko Moshi manispaa.
Dogo jambo usilolijua likalie kimya. Kusema kwamba mbweni la watoto 80 kwa m. 150 umeonesha una uelewa mdogo sana wa mambo ya ujenzi wa mabweni. Ungeuliza kabla ya kupost.
 
150m inaweza kuwa gharama ya kawaida sana, sidhani kama kuna upigaji wa kutisha hapo. Muhimu utwekee michoro ili wajuvi wa kukadiria wakupe hesabu kamili. Ila 150m kwa watu 80 sidhani kama wamepiga.
Mabweni yote ya shule za Serikali ya wakati huu yanabeba wanafunzi 80. Ni ya kisasa sana.
 
Back
Top Bottom