Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kujenga bweni la wavulana 80 kwa Tsh 150,000,000/= Ni upigaji mkubwa

PM Alisema eti nyumba za walimu ni 25m asee hadi unajiuliza ni kwamba yeye hajajenga au kujitoa ufahamu ila Siasa za Tanzania n ngumu sana.
 
Weka BOQ hapo.

Tunaongelea mtu tunayemfahamu hatubahatishi
 
150m inaweza kuwa gharama ya kawaida sana, sidhani kama kuna upigaji wa kutisha hapo. Muhimu utwekee michoro ili wajuvi wa kukadiria wakupe hesabu kamili. Ila 150m kwa watu 80 sidhani kama wamepiga.
 
Dogo jambo usilolijua likalie kimya. Kusema kwamba mbweni la watoto 80 kwa m. 150 umeonesha una uelewa mdogo sana wa mambo ya ujenzi wa mabweni. Ungeuliza kabla ya kupost.
 
150m inaweza kuwa gharama ya kawaida sana, sidhani kama kuna upigaji wa kutisha hapo. Muhimu utwekee michoro ili wajuvi wa kukadiria wakupe hesabu kamili. Ila 150m kwa watu 80 sidhani kama wamepiga.
Mabweni yote ya shule za Serikali ya wakati huu yanabeba wanafunzi 80. Ni ya kisasa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…