TANZIA Mkurugenzi wa Quality Building Construction afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Quality Building Construction afariki dunia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Khamis Shaibu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Quality Building Construction amefariki dunia
1612603841902.png

Hapa pichani alikuwa anakabidhi jengo la serilikali alilosimamia
1612603798232.png
 
Haya tujiandae kisaikolojia.

Hapo makamu wa kwanza aliugua hatujui maendeleo yake.

Tusubiri huyo aloshika maiki kama mapafu yake ni kama ya mkurugenzi,tujiandae kutoa salam za pole.
 
Khamis Shaibu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Quality Building Construction amefariki dunia
View attachment 1695884
Hapa pichani alikuwa anakabidhi jengo la serilikali alilosimamia
View attachment 1695881
...Kwa hiyo in lile tu la kutaka wasionekane Kula Matapishi yao kwa kukiri tu kuwa 'Corona IPO na Inaua' ndio inawafanya Wakae kimya na Kuishia kusema kuwa Barakoa no Kwa ajili ya kukijikinga na Kifua Kikuu![emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Mkuu, jamaa yule ni mbishi na katu huwa hataki kuonekana yuko upande wa kushindwa. Nina uhakika hata kuwe na janga kubwa kabisa la vifo kuliko aonekane kushindwa ni bora watu waendelee kufa. Mimi nadhani ni ujinga kwa taifa zima kuogopa. Viongozi wengine wote na viongozi wa dini wakijitokeza na kusema ukweli hatakuwa na uwezo wa kumshughulikia kila mtu.
 
Usalama wa rais wa Zanzibar hapo vipi?! [emoji34]
 
Back
Top Bottom