TANZIA Mkurugenzi wa Quality Building Construction afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Quality Building Construction afariki dunia

Magufuli anawadanganya kweli .Jamani kila mtu ana mwili na nafsi yake. Usivae barakoa eti kisa Magufuli kasema msivae. Vaeni Barakoa jamani. Maisha yalivyo matamu hivyo. Haiwezekani kufa kizembe. Barakoa navaa,mikono nanawa mara milion kwa siku. Kwenye pochi yangu haukosi Barakoa na Sanitizer.
Acha uongo we mwanamke,, Magu alisema tuchukue tahadhari..Nini maana yake we mama...huelewi kipi...afya na uhai ni wako we mtu mzima unataka uelekezwe Kila kitu Kama mtoto wa nursery..acha ujinga...wananchi wanajua wanachofanya labda nikwambie hivyo..we watanzania unawajua au unawasikia...pqmbana na hali yako
 
Magufuli anawadanganya kweli .Jamani kila mtu ana mwili na nafsi yake. Usivae barakoa eti kisa Magufuli kasema msivae. Vaeni Barakoa jamani. Maisha yalivyo matamu hivyo. Haiwezekani kufa kizembe. Barakoa navaa,mikono nanawa mara milion kwa siku. Kwenye pochi yangu haukosi Barakoa na Sanitizer.
Mungu atende pale dom achukue wapiga kelele 30 kwanza,halafu mchukue dk gwajima na naibu wake yule mwenye kichwa kama nundu ya ngombe
 
Siku Pneumonia ya kisasa itakapomdondosha mtu gani sijui ndiyo watajua maana ya kuliambia taifa livae barakoa
Hata kama hili tatizo lipo likikaa miaka 10 kunzia sasa hivi utaishi na barakoa kwa miaka hiyo?
 
Hata kama hili tatizo lipo likikaa miaka 10 kunzia sasa hivi utaishi na barakoa kwa miaka hiyo?
Tutavaa tu hakuna namna. Ukiwa maeneo ambayo ni exposed. Mbona madaktari wapasuaji wanavaa. Hivyo ukiona uko eneo exposed kama mikusanyiko unavaa. Ukiwa ofisini mwenyewe unavua. Akiingia mtu au files za kupitia unavaa. Ni kujijengea utamaduni na mazoea. Na pia imefika mahali ku limit wanaotutembelea majumbani mwetu hasa kwa kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom