kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Hivi hiyo Covid-19 inauwa watu maarufu tu! Mbona wengine hamsemi!Kwa hii picha Maalim ameshaugua, mmoja huyo ameshatangulia, nani atafuata??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hiyo Covid-19 inauwa watu maarufu tu! Mbona wengine hamsemi!Kwa hii picha Maalim ameshaugua, mmoja huyo ameshatangulia, nani atafuata??
Utasubiri sana!Mkuu, jamaa yule ni mbishi na katu huwa hataki kuonekana yuko upande wa kushindwa. Nina uhakika hata kuwe na janga kubwa kabisa la vifo kuliko aonekane kushindwa ni bora watu waendelee kufa. Mimi nadhani ni ujinga kwa taifa zima kuogopa. Viongozi wengine wote na viongozi wa dini wakijitokeza na kusema ukweli hatakuwa na uwezo wa kumshughulikia kila mtu.
Kwani hawajasema kuwa covid ipo⁉️...Kwa hiyo in lile tu la kutaka wasionekane Kula Matapishi yao kwa kukiri tu kuwa 'Corona IPO na Inaua' ndio inawafanya Wakae kimya na Kuishia kusema kuwa Barakoa no Kwa ajili ya kukijikinga na Kifua Kikuu![emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15]
Ungemalizia na mpenda madaraka keshaugua 🙄🙄Hio picha lini? Manake wengi hapo hawajavaa barakoa .
Wewe na utuuzima wako unasubiri mtu aje akwambie uvae barakoa..una akili kweli...hujui zinapopatikana, hujui umuhim wake, hujui njia za kuepuka maambukizi mbalimbali...hivi unadhan Tanzania yetu Nani asiyeijua barakoa...sasa kuvaa napo mpaka uambiwe..huo ni ujinga sanaSiku Pneumonia ya kisasa itakapomdondosha mtu gani sijui ndiyo watajua maana ya kuliambia taifa livae barakoa
Mpaka waanze kudondoka viongozi wazito ndiyo utaona matamko kila kona.Siku Pneumonia ya kisasa itakapomdondosha mtu gani sijui ndiyo watajua maana ya kuliambia taifa livae barakoa
Corona je?Barakoa ni kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya kifua kikuu
Nikimtaja Mwalimu wa Shule Fulani Juma Hamduni utamjua?Hivi hiyo Covid-19 inauwa watu maarufu tu! Mbona wengine hamsemi!
Tamko rasmi la Nchi ya Tanzania.Barakoa ni kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya kifua kikuu
Tungependa nani afe ndio akiri zetu zikae sawa?
Hawa ni wa "kunyonga" kwa sababu matamshi yao kama viongozi yatawaua wengi maana wanyonge watawasikiliza...Kwa hiyo in lile tu la kutaka wasionekane Kula Matapishi yao kwa kukiri tu kuwa 'Corona IPO na Inaua' ndio inawafanya Wakae kimya na Kuishia kusema kuwa Barakoa no Kwa ajili ya kukijikinga na Kifua Kikuu![emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15]
Mkuu hayo ni majibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya ambaye ni Profesa Bingwa wa Afya. Kuhusu corona sina uhakika kama inazuia.Corona je?
Yure sitaki akufe ili ...Mkulu wa Chato.
Wizara ya Afya imekuwa kitengo cha propaganda ya Afya sasa hivi.Mkuu hayo ni majibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya ambaye ni Profesa Bingwa wa Afya. Kuhusu corona sina uhakika kama inazuia.
Tuendelee kufuata ushauri wa Wizara ya Afya
Una uhakika? Unaweza kuthibitisha?Wizara ya Afya imekuwa kitengo cha propaganda ya Afya sasa hivi.