Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Toa neno wengi weka WOTEHio picha lini? Manake wengi hapo hawajavaa barakoa .
Tungependa nani afe ndio akiri zetu zikae sawa?Khamis Shaibu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Quality Building Construction amefariki dunia
View attachment 1695884
Hapa pichani alikuwa anakabidhi jengo la serilikali alilosimamia
View attachment 1695881
Kwa hii picha Maalim ameshaugua, mmoja huyo ameshatangulia, nani atafuata??Khamis Shaibu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Quality Building Construction amefariki dunia
View attachment 1695884
Hapa pichani alikuwa anakabidhi jengo la serilikali alilosimamia
View attachment 1695881
alisikika akisema Prof wa jalalaniBarakoa ni kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya kifua kikuu
...Kwa hiyo in lile tu la kutaka wasionekane Kula Matapishi yao kwa kukiri tu kuwa 'Corona IPO na Inaua' ndio inawafanya Wakae kimya na Kuishia kusema kuwa Barakoa no Kwa ajili ya kukijikinga na Kifua Kikuu![emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15]Khamis Shaibu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Quality Building Construction amefariki dunia
View attachment 1695884
Hapa pichani alikuwa anakabidhi jengo la serilikali alilosimamia
View attachment 1695881
Hawa ndo wale waliozkmbilia chanjo South africa.ndo chanjo mnazozipigia chapuo hiziKwa hii picha Maalim ameshaugua, mmoja huyo ameshatangulia, nani atafuata??
Mkuu, jamaa yule ni mbishi na katu huwa hataki kuonekana yuko upande wa kushindwa. Nina uhakika hata kuwe na janga kubwa kabisa la vifo kuliko aonekane kushindwa ni bora watu waendelee kufa. Mimi nadhani ni ujinga kwa taifa zima kuogopa. Viongozi wengine wote na viongozi wa dini wakijitokeza na kusema ukweli hatakuwa na uwezo wa kumshughulikia kila mtu....Kwa hiyo in lile tu la kutaka wasionekane Kula Matapishi yao kwa kukiri tu kuwa 'Corona IPO na Inaua' ndio inawafanya Wakae kimya na Kuishia kusema kuwa Barakoa no Kwa ajili ya kukijikinga na Kifua Kikuu![emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15]