TANZIA Mkurugenzi wa Quality Building Construction afariki dunia

Utasubiri sana!
 
Kwani hawajasema kuwa covid ipo⁉️
 
Siku Pneumonia ya kisasa itakapomdondosha mtu gani sijui ndiyo watajua maana ya kuliambia taifa livae barakoa
Wewe na utuuzima wako unasubiri mtu aje akwambie uvae barakoa..una akili kweli...hujui zinapopatikana, hujui umuhim wake, hujui njia za kuepuka maambukizi mbalimbali...hivi unadhan Tanzania yetu Nani asiyeijua barakoa...sasa kuvaa napo mpaka uambiwe..huo ni ujinga sana
 
Siku Pneumonia ya kisasa itakapomdondosha mtu gani sijui ndiyo watajua maana ya kuliambia taifa livae barakoa
Mpaka waanze kudondoka viongozi wazito ndiyo utaona matamko kila kona.

Imagine kanisa katoliki walitoa tamko baada ya mapadri kadhaa kufariki wasingejisumbua kama wasingeguswa.
 
Magufuli anawadanganya kweli .Jamani kila mtu ana mwili na nafsi yake. Usivae barakoa eti kisa Magufuli kasema msivae. Vaeni Barakoa jamani. Maisha yalivyo matamu hivyo. Haiwezekani kufa kizembe. Barakoa navaa,mikono nanawa mara milion kwa siku. Kwenye pochi yangu haukosi Barakoa na Sanitizer.
 
Hawa ni wa "kunyonga" kwa sababu matamshi yao kama viongozi yatawaua wengi maana wanyonge watawasikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…