Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hakuna ugonjwa unaouwa kwa ghafla kama shinikizo la moyo RIP sirKhamis Shaibu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Quality Building Construction amefariki dunia
View attachment 1695884
Hapa pichani alikuwa anakabidhi jengo la serilikali alilosimamia
View attachment 1695881
Nitashukulu ili nisione Hutu tuujingaWewe ufe
Acha uongo we mwanamke,, Magu alisema tuchukue tahadhari..Nini maana yake we mama...huelewi kipi...afya na uhai ni wako we mtu mzima unataka uelekezwe Kila kitu Kama mtoto wa nursery..acha ujinga...wananchi wanajua wanachofanya labda nikwambie hivyo..we watanzania unawajua au unawasikia...pqmbana na hali yakoMagufuli anawadanganya kweli .Jamani kila mtu ana mwili na nafsi yake. Usivae barakoa eti kisa Magufuli kasema msivae. Vaeni Barakoa jamani. Maisha yalivyo matamu hivyo. Haiwezekani kufa kizembe. Barakoa navaa,mikono nanawa mara milion kwa siku. Kwenye pochi yangu haukosi Barakoa na Sanitizer.
Hapa kwangu ni 12:40.
Siku bado ndefu sana. Eeh mola wetu utupishilie mbali na hili dhahama.
Apumzike kwa amani.
Wanasiasa ni washenzi sana wakiguswa utaona watapindua meza kibabe.
Na wengine wako hoi kwa korona.Hio picha lini? Manake wengi hapo hawajavaa barakoa .
Are you sure???Huyu ndiye kamsambazia Maalim Seif? Pole yap hiyo timu aiseee!
Mungu atende pale dom achukue wapiga kelele 30 kwanza,halafu mchukue dk gwajima na naibu wake yule mwenye kichwa kama nundu ya ngombeMagufuli anawadanganya kweli .Jamani kila mtu ana mwili na nafsi yake. Usivae barakoa eti kisa Magufuli kasema msivae. Vaeni Barakoa jamani. Maisha yalivyo matamu hivyo. Haiwezekani kufa kizembe. Barakoa navaa,mikono nanawa mara milion kwa siku. Kwenye pochi yangu haukosi Barakoa na Sanitizer.
Unajua matumizi ya alama ya kuuliza? Unauliza swali la kijinga sister!Are you sure???
Ndugu, naona kuna mismatch kati ya username yako na avatar yako. Weka picha ya jogoo hapo kwenye avatar basi! π π πHio picha lini? Manake wengi hapo hawajavaa barakoa .
Hata kama hili tatizo lipo likikaa miaka 10 kunzia sasa hivi utaishi na barakoa kwa miaka hiyo?Siku Pneumonia ya kisasa itakapomdondosha mtu gani sijui ndiyo watajua maana ya kuliambia taifa livae barakoa
Tutavaa tu hakuna namna. Ukiwa maeneo ambayo ni exposed. Mbona madaktari wapasuaji wanavaa. Hivyo ukiona uko eneo exposed kama mikusanyiko unavaa. Ukiwa ofisini mwenyewe unavua. Akiingia mtu au files za kupitia unavaa. Ni kujijengea utamaduni na mazoea. Na pia imefika mahali ku limit wanaotutembelea majumbani mwetu hasa kwa kipindi hiki.Hata kama hili tatizo lipo likikaa miaka 10 kunzia sasa hivi utaishi na barakoa kwa miaka hiyo?
jiweTungependa nani afe ndio akiri zetu zikae sawa?