Kiingereza kilishawapiga chenga,ndo maana wakenya halisi wanateuliwa kusimamia vigezo vikubwa vya kampuni kwenye nchi zenu.
Someni namba kabisa kabisa
Speak for yourself!Nimefanya kazi nao sana. Wanazalisha na kuiba ila sisi tunaiba bila kujali uzalishaji.
Sylvia Mulinge, naomba uingie huko na unyang'au wa Kenya wote. Uwatafune hadi watafunike.
Akili za ki ukawa hizo ! Kwani huyo ni mkenya wa kwanza kuja voda !?Then Tz subirini lililoikuta "General Tyre ltd" liikute Vodacom TZ!!
vodacom ni company ya serikali?Naomba serikali imtimue huyo mama mapemaaaa wakenya watatudhulumu
Serikali ni shareholder i am sure. Plus....sio lazima iwe ya serikali for the govt to actvodacom ni company ya serikali?
Atarudi na ujauzito. Asicheze na sisi kipindi hiki.
...jamani msimjali huyu...ni chademaa !Naomba serikali imtimue huyo mama mapemaaaa wakenya watatudhulumu
Soo what if i am?...jamani msimjali huyu...ni chademaa !
Bora shoe ? Air Tanzania ? Tanganyika Parkers ?....Kafanyaje? We hujui baadhi ya makampuni ya bongo yaliyouliwa na wakenya?
...exactly !Soo what if i am?
Hueleweki mkuu.....kuwa Chadema ni kosa au?...exactly !
...wewe wakupima mkojo !Serikali ni shareholder i am sure. Plus....sio lazima iwe ya serikali for the govt to act
Whatever loser!...wewe wakupima mkojo !
Gen Tyre kaua Lowassa na Mramba, SBL wameiua Makaburu (SAB), Precision ni ulimbukeni wa Management !Nimekumbuka precision air.....SBL....General Tyre.....list is endless
Unachuki na wakenya buda,Hueleweki mkuu.....kuwa Chadema ni kosa au?