Mkurugenzi wa Safaricom, Sylvia Mulinge ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania

Mkurugenzi wa Safaricom, Sylvia Mulinge ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania

Wakenya ni watu wa kudhulumu. Kama hujawai fanya nao kazi ndo ujue.
Makampuni mangapi ya bongo yameuliwa na wakenya? They never uphold their end of the bargain......mark my words!
nilidhani we ni among watanzania wale intellect kulingana na hoja zako lakini kumbe hauna tofauti na kina mulisaa na jito jiwe
 
Mnakazana kupondana chuo kipi bora na waliosomq chuo X wanajiona ndio bora kuzidi wengine while dunia ni kijiji compete na dunia.. Elimu Elimu will set us free.. kenya wameinvest kwenye elimu Bora
 
Nimefanya kazi nao sana. Wanazalisha na kuiba ila sisi tunaiba bila kujali uzalishaji.
Na mifano iko mingi, tuanze na wale waliopewa ajira Standard Gauge! Yaani sisi tukiajiriwa kitu cha kwanza ni kufikiria kuiba tu! Wale wapumbafu wakaona ni bora wapoteze ajira kwa kuiba mafuta badala ya kupiga kazi! Mazuzu kabisa..
 
moja ya makampuni yanayo talajiwa kubanwa kulipa kodi ni makampuni ya simu. Magufuli amesema makampuni yote ya simu ni lazima yajiunge na data center ilikuiwezesha serikali(TRA) kujua mapato yao halisi. Vodacom hawaja jiunga na amesha toa warning kuwa atazifungia kampuni za simu ambazo hazijajiunga na uwo mfumo.
 
nilidhani we ni among watanzania wale intellect kulingana na hoja zako lakini kumbe hauna tofauti na kina mulisaa na jito jiwe
Mulisaa unanipenda sana pimbi wewe ?? Toka umeniomba inbox etiniwe bwana yako wakuwa nakutatua malinda unajiona uko safe sana. Sasa leo nimeweka mambo wazi. You Kenyan gay.
 
Wakenya wanapiga kazi ila usipo kuwa makini nao, kampuni ya voda tz ataleta wafanyakazi wakenya hadi mlinzi wa getini, wanashikana mkono tofauti na watanzania kubaniana kwenye fursa...
kodi tutakayo mpiga kwenye mshahara wake kama foreigner atabakiza pesa yakununua mboga.
 
Kasoma Bachelor in Food Science and Technology ana miaka 40 tarifa zake kwa hisani ya mtandao.Cha kujifunza aijalishi ni kozi gani umesoma chuo kuwa kiongozi uwezo wako ndio utakawo kuuza katika soko la ajira.
 
..she graduated with a degree in food science and technology.

..hapa Tz tuna vijana wana graduate with technical degrees lakini hawapandi ngazi kushika nafasi kubwa-kubwa.

..huyo mama huenda ana kitu wenzetu wanaita "SOFT SKILLS" ambazo ni muhimu kuwa nazo ili kushika nafasi za juu ktk makampuni makubwa.

..Lets hope kwamba Chief Technology Officer wa Vodacom atakuwa ni Mtanzania mwenzetu.
 
Mulisaa unanipenda sana pimbi wewe ?? Toka umeniomba inbox etiniwe bwana yako wakuwa nakutatua malinda unajiona uko safe sana. Sasa leo nimeweka mambo wazi. You Kenyan gay.
Kuna ukweli hapo
 
Back
Top Bottom