Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
....kwa mfano ...!Kampuni nyingi zinanzoongozwa na wakenya zina history ya kufeli
Lete na za wabongo zilizo faulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....kwa mfano ...!Kampuni nyingi zinanzoongozwa na wakenya zina history ya kufeli
Pw....kwa mfano ...!
Lete na za wabongo zilizo faulu
Kwanini za huku mainland zilifeli au walitumwa kuziangusha maksudiNenda kwa 5 stars za Zanzibar uone Wakenya wanavyoziendesha.
Sidhani kama ni kweli pili si hukumu kama wao ni chanzo moja kwa mojaTatizo lenu kubwa mkishaskia kwamba mkurungezi ni Mkenya, mnaanza zile inferiority complex zenu, mnahujumu na ndio maana zinafeli.
General Tyre ni Lowassa na Mramba, SBL ni mambo ya share/management (wahindi/waghana/wakenya)Pw
General tyre
Sbl
Ya kwao ni nakumatt na mengine mengi sana
Precision air?General Tyre ni Lowassa na Mramba, SBL ni mambo ya share/management (wahindi/waghana/wakenya)
Pw !?
Nakumatt ni money laundering, kuna wakikuyu walichukua pesa zao baada muhindi kukataa kutransfer ownership.
Mambo yake ya ndani yaligharimu maisha mpaka ya wakaguzi wa ndani.
Chairman alikuwa wapi ?!Precision air?
...ulimuona wapi !?Hivi imekuaje akapewa mkenya.......hakuna mtanzania mweny vigezo???
Hivi hakuna analyst humu atuletee comparative data za financial s kati ya Vodacom na safaricom. Items ziwe MKT share, subscriber, data usage, voice, technology, head count, etc. Ile profit waliyopata ni kuwa Voda inakuwa safaricom kesho tu
Si ndo maana Magu akawalazimisha ku-list DSE! Hakuna kuruhusu Vodacom kunuliwa na Safaricom.Hivi hakuna analyst humu atuletee comparative data za financial s kati ya Vodacom na safaricom. Items ziwe MKT share, subscriber, data usage, voice, technology, head count, etc. Ile profit waliyopata ni kuwa Voda inakuwa safaricom kesho tu
Vodacom aina faida yeyote ata afadhali tigoSi ndo maana Magu akawalazimisha ku-list DSE! Hakuna kuruhusu Vodacom kunuliwa na Safaricom.
Acha kulinganisha voda na saf.. .linganisha saf na kampuni 14 na zaidi kubwa za uko bongo ikiwemo voda.Hivi hakuna analyst humu atuletee comparative data za financial s kati ya Vodacom na safaricom. Items ziwe MKT share, subscriber, data usage, voice, technology, head count, etc. Ile profit waliyopata ni kuwa Voda inakuwa safaricom kesho tu
Tigo is next, saving my cents to buy shares tooVodacom aina faida yeyote ata afadhali tigo
Tigo pia ina market base nzuri manake wateja wake wengi ni vijana aswa wa vyuo vikuu nk. Ila tigo inapaswa ibuni products za kisasa ambazo zinaendanisha na mahitaji ya hawa vijana.Tigo is next, saving my cents to buy shares too
EAcha kulinganisha voda na saf.. .linganisha saf na kampuni 14 na zaidi kubwa za ukoo ikiwemo voda.