Mkurugenzi wa Safaricom, Sylvia Mulinge ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania

Kampuni nyingi zinanzoongozwa na wakenya zina history ya kufeli

Nenda kwa 5 stars za Zanzibar uone Wakenya wanavyoziendesha.
Nijuavyo ni mtihani sana kuongoza kampuni ambapo Watanzania ndio wafanya kazi, lazima utafeli.
 
Kwanini za huku mainland zilifeli au walitumwa kuziangusha maksudi

Tatizo lenu kubwa mkishaskia kwamba mkurungezi ni Mkenya, mnaanza zile inferiority complex zenu, mnahujumu na ndio maana zinafeli.
 
Sidhani kama ni kweli pili si hukumu kama wao ni chanzo moja kwa moja
 
Pw
General tyre
Sbl

Ya kwao ni nakumatt na mengine mengi sana
General Tyre ni Lowassa na Mramba, SBL ni mambo ya share/management (wahindi/waghana/wakenya)
Pw !?
Nakumatt ni money laundering, kuna wakikuyu walichukua pesa zao baada muhindi kukataa kutransfer ownership.
Mambo yake ya ndani yaligharimu maisha mpaka ya wakaguzi wa ndani.
 
Precision air?
 
Hivi imekuaje akapewa mkenya.......hakuna mtanzania mweny vigezo???
 
Hivi hakuna analyst humu atuletee comparative data za financial s kati ya Vodacom na safaricom. Items ziwe MKT share, subscriber, data usage, voice, technology, head count, etc. Ile profit waliyopata ni kuwa Voda inakuwa safaricom kesho tu
 
Si ndo maana Magu akawalazimisha ku-list DSE! Hakuna kuruhusu Vodacom kunuliwa na Safaricom.
 
Hivi hakuna analyst humu atuletee comparative data za financial s kati ya Vodacom na safaricom. Items ziwe MKT share, subscriber, data usage, voice, technology, head count, etc. Ile profit waliyopata ni kuwa Voda inakuwa safaricom kesho tu
Acha kulinganisha voda na saf.. .linganisha saf na kampuni 14 na zaidi kubwa za uko bongo ikiwemo voda.
 
Tigo is next, saving my cents to buy shares too
Tigo pia ina market base nzuri manake wateja wake wengi ni vijana aswa wa vyuo vikuu nk. Ila tigo inapaswa ibuni products za kisasa ambazo zinaendanisha na mahitaji ya hawa vijana.
 
Mbn watanzania hakuna kitu tnachoweza mpaka dada zetu kuolewa wanashindwa
 
Back
Top Bottom