Habari wana HHM Mwisho wa mwaka unakuja na matukio ya vifo wafanyabiashara wakubwa wasanii wanasiasa kunanini nyuma ya pazia juu ya hivi vifo. Mwaka huu Bado hatujasikia ajali lakini hata ukimuuliza mtoto mdogo analitambua Hilo kwamba mwisho wa mwaka unakuja na matukio mengi ya kuhuzunisha na...