Mkurugenzi wa shule ya UWCEA Moshi na viongozi wa mkoa wakanusha taarifa za kufungwa kwa shule hiyo

Mkurugenzi wa shule ya UWCEA Moshi na viongozi wa mkoa wakanusha taarifa za kufungwa kwa shule hiyo

Kwa hiyo Ile taarifa kwe website Yao aliiweka Nani? Au haikuwa website Yao?

Ebu waache upumbavu
Kwasasa chukua tahadhari wewe na familia yako Corona ipo na inaua. achana na mambo ya website
 
kwahiyo wale walevi taarifa wamezitoa wapi jaman[emoji15][emoji15][emoji15]
Taarifa ipo kwenye website yao wenyewe! Hapo wamepigwa biti na kwahiyo wamelazimika kuikana taarifa yao!
Corona.png

I write to you this evening with an update.

As of this evening the Moshi campus has moved into campus quarantine until 1st February 2021. Whilst it remains that we have only one student who has tested positive for COVID-19, we now have a second student who is displaying symptoms which could be attributed to the coronavirus..
Leo ndo nimeamini serikali niliyoichagua na kuipigia debe kumbe kweli inaficha hili suala.
 
Ukweli ni kuwa Corona ipo hapo Moshi International School, na shule imefungwa. Kuna mpwa wangu anasoma kwenye hiyo shule na jana jioni amerejea Dar akitokea moshi.

Kilichofanyika ni funika Kombe ili mwanaharamu apite.
Ndio nashangaa mkuu, Boss wangu ana mtoto wa miaka 7 anasoma hapo ISM tokea juzi anakuja nae kazini wamefunga sababu ya corona
 
Nilijua tu kitakachofuata ni ukanushaji wa uwepo wa ugonjwa.

Business as usual!
 
Ukweli ni kuwa Corona ipo hapo Moshi International School, na shule imefungwa. Kuna mpwa wangu anasoma kwenye hiyo shule na jana jioni amerejea Dar akitokea moshi.

Kilichofanyika ni funika Kombe ili mwanaharamu apite.
Sasa kwanini wanaficha?
 
Labda masomo yako online, so hawajafunga.(sijasoma maelezo yote humu)
 
“Wakati inabaki kuwa tuna mwanafunzi mmoja tu mwenye Covid-19, sasa tuna mwanafunzi wa pili ambaye anaonyesha dalili ambazo zinaweza kuhusishwa na virusi vya corona,” amesema Anna katika taarifa hiyo.
Kwa hiyo covid19 ipo eeh!

Mkurugenzi huyo alifafanua kuwa wanafunzi wa kutwa watasoma kwa njia ya mtandao kutokea nyumbani na wale wa bweni watabaki katika mabweni yao na kwamba walimu wote watafanyia kazi wakitokea nyumbani.
Hiyo si ndiyo Lockdown, au?
 
Kunijua hunijui wapi umeniona nimekusanyika hovyo? Na ni nani aliyekudanganya kwamba mimi sivai mask? 😳😳😳
huna cha kuniambia, ndugu Mimi naishi, Tanzania sipo ulaya, ko hari ya mtaani naitambua ikoje Na tunaishi vipi, Na hiyo covid itukuepo kwenu huko huko, Na kingine acha uzushi wa mambo usiyo yatambua, unaniadithia simulizi Za 2020 mwez wa 4,
 
Wapumbavu kama wewe ni tatizo kubwa sana nchini. Wasted sperm. SAD!
huna cha kuniambia, ndugu Mimi naishi, Tanzania sipo ulaya, ko hari ya mtaani naitambua ikoje Na tunaishi vipi, Na hiyo covid itukuepo kwenu huko huko, Na kingine acha uzushi wa mambo usiyo yatambua, unaniadithia simulizi Za 2020 mwez wa 4,
 
View attachment 1682766
Moshi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amekanusha taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kufungwa kwa shule ya International School Moshi (ISM) kwa madai ya mwanafunzi mmoja kukutwa na maambukizi ya ugonjwa wa Corona....
Mi naona tu waungwana wakijificha katika shamba la karanga.

Ujinga ni mtu kujitakia na hivyo ndivyo tulivyo amua kama taifa kumfariji mungu wetu.
 
Soma between the lines, shule haijakanusha kuwa hakuna Corona BALI imekanusha kuhusu shule kufungwa.
 
uongozi wa shule haukusema umefunga shule, walisema wamesitisha masomo ya ana kwa ana
 
Back
Top Bottom