LGE2024 Mkurugenzi wa TAMISEMI: Waandishi wa habari msitumie neno "Kukatwa Wagombea", ni kinyume na kanuni za Uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Mnaweza kuta CCM ni chaneli ya vituko na vichekesho huko duniani.

Kwani Vimbwanga vinaendelea katika kipindi hiki ambacho taifa linaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Hivi karibuni Stephen Motambi ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa Serikali za Mitaa kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) amewataka waandishi wa habari kutotumia neno 'kukatwa' kwa wagombea wakati mchakato wa uchaguzi

Motambi amewataka waandishi wa habari watumie maneno yanayoendana na kanuni za uchaguzi.

Mnaweza mkasikilize zaidi hapa.

My Take:

Huyu anaongelea waandishi gani? Hawa hawa ambao wote wako CCM au kuna wengine anaowaongelea?
 
namuunga mkono yupo sahihi huu mchakato unahistilahi zake vyama vya upinzani wa wandishi wanapashwa kukumbushwa hilo
 
Wakuu,

Mnaweza kuta CCM ni chaneli ya vituko na vichekesho huko duniani.

Kwani Vimbwanga vinaendelea katika kipindi hiki ambacho taifa linaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Hivi karibuni Stephen Motambi ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa Serikali za Mitaa kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) amewataka waandishi wa habari kutotumia neno 'kukatwa' kwa wagombea wakati mchakato wa uchaguzi

Motambi amewataka waandishi wa habari watumie maneno yanayoendana na kanuni za uchaguzi.

Mnaweza mkasikilize zaidi hapa.

View attachment 3151594

My Take:

Huyu anaongelea waandishi gani? Hawa hawa ambao wote wako CCM au kuna wengine anaowaongelea?
Pumbavu kabisa huyu atakuwa anakatwa.
 
Huyu ni mpumbavu kama wapumbavu wengine!
 
CCM wote hawana akili period
Sio ccm, baadhi ya watendaji wanajipendekeza kupitiliza, baada ya kujipendekeza kwa muumba wao wanajipendekeza kwa binaadam wenzao ni athari yake hii, huwa kama unaangalia mchezo mmoja unaitwa yangstu
 
Back
Top Bottom