Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Mnaweza kuta CCM ni chaneli ya vituko na vichekesho huko duniani.
Kwani Vimbwanga vinaendelea katika kipindi hiki ambacho taifa linaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Hivi karibuni Stephen Motambi ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa Serikali za Mitaa kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) amewataka waandishi wa habari kutotumia neno 'kukatwa' kwa wagombea wakati mchakato wa uchaguzi
Motambi amewataka waandishi wa habari watumie maneno yanayoendana na kanuni za uchaguzi.
Mnaweza mkasikilize zaidi hapa.
My Take:
Huyu anaongelea waandishi gani? Hawa hawa ambao wote wako CCM au kuna wengine anaowaongelea?