Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli inasikitisha sana! Huu upuuzi wa TBC si wa kutetewa, issue ni simple tu kwa nini wawastukize wananchi kununua hicho king'amuzi ambacho hata Kibaha hikifiki?
Kwa mimi yote sawa tu,
sipendi bungew wala soka, naon ayanapoteza muda tu wa tamthiliya zetu za kulia lia
Above all, binafsi naona vikao vya Bunge havina kitu kipya, ni bora watanzania tuangalie michuano ya Kombe la Dunia kuliko "kupoteza muda" kuangalia vikao vya Bunge.
Naamini wale walokole ndo wanao ona kichefu chefu lakini wale mabingwa wa totoz hapo ndo pakutokea home unaaga unaenda kuangalia mpira bar maana hakuna local chanel itakayo onyesha lazima ufunge safari bar na kitu chako moto au baridi naamini wengi wananiunga mkono lakini hawataki kuweka wazi walio wengi ni fraha kwao wachache ndo huzuni.
I guess sababu ya kupeleka matangazo ya WC channel ya pili ni opportunity nzuri ya kuuza sasa hivi. Hizi decoder haziwezi kupata wateja wengi kama hakuna kitu cha ziada, maana kuna Easy TV nao wana decoder na inacover almost all locals channels contrary to hii yenye channel tatu tu za local (TBC1&2 na Channel 10)
Msilalamike sana jamani. Huu ni mwaka wa uchaguzi, na ninawaambia kuwa hii ni moja ya strategy za kuvutia kura, nyie tulalamikee, iki-heat sana JK atatangaza kwenye hiyohiyo TBC kuwa serikali imeamua kurusha matangazo ya mpira bure ili wananchi wajifunze toka kwa wenzetu, halafu tutarukaruka na kusema JK oyeee! October kura zetu zooooote kwa CCM.
YUO wrote like a genius! Hivyo ndivyo itakavyokuwa. Don't buy those shit! Hawa watu wataonyesha mpira kama walivyo ahidi, achana na hiyo midecoder Mdabwada. Lipia DSTV access ($10) aur Family ($20) zina mengi kuliko hizo decoder. Mpira utaupata kupitia TBC, Kenya TV nk.
Muungwana atakuja na hilo mzee , halafu watakwambia CCM imedhamini!!!!
Na 3D vile vile kama utataka!.poleni sana watz wenzangu,hapa nilipo nina choice zaidi ya moja kuangalia world cup,bila kulipia,on digital HD broadcast.......bureeeee i.e tv ya taifa.....as it is supposed to be!!!!!