johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Na sijui Mama Samia kwanini analea hawa wapuuzi mpk leo. wanàfanya tumuone nae Ni wale wale tu.Haya mabaki ya mwendazake ndio yatamuharibia Samia
Hivi bado hawasomi alama za nyakati? Si ndiye huyo huyo Mkurugenzi wa Temeke alimjibu mwandishi kuwa si hadhi yake kuonana labda Mkurugenzi wa chombo husika. Km huwahitaji waandishi wa habari kwenye kikao chako, ni kiasi cha kuwaelekeza tu. This is too much, wanawachafua hata waliowateua. Nafikiri huyu DED atakuwa wa kwanza kuyumbuliwa ktk hizo nafasi za Ukurugenzi. Viongozi wasome alama za nyakati, Wamwelewe Mh. Rais SSH.
Nadhani ana aleji na waandishi wa habari!Huyu ndugu sijui kama atatoboa, kama kumbukumbu zangu zipo sawa kama siyo mwaka huu ni last year mwishoni alimjibu vibaya mwandishi wa aitivi
Haya!Acheni ujinga, Tanzania waandishi wengi makanjanja tu, weka ndani hao!!
Leo!Hii ni Leo au Habari imejipost baada ya siku nyingi?
Duh. Kazi kubwa bado ipoLeo!
Ya siku nyini ni ile ya Stephen Richard ambayo DC Gondwe aliomba radhi kwa niaba ya huyu mkurugenzi!