Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Mungu wangu sio kwa kujisahau huku ...hii evidence mambo yakienda vibaya itamuweka pabaya mno...
Bila kutaraji kajionesha rangi zake halisi
Yaani huyo Mkurugenzi alivyo fala, waliyoyaongea faragha akiwa na team ccm, yeye ameyaleta nuruni. Kweli Mungu hamfichi mnafiki.
 
Ameshajichanganya tayari na rangi yake imeshasomeka na anaonekana km anapressure fulani huenda ikawa ya maagizo kwa sababu hakupaswa kuzungumza yote hayo. Yeye angesimamia barua ya kumuita mgombea husika mbele ya kamati ya maadili , akakutane na tuhuma zake, baaasi.

Kwanza hakukuwa na sababu ya press, angemwandikia na kumsisitiza kwa simu ama email. Kwa bahati mbaya ameruhusu mjadala wa madai ya Tume kabla ya wakati ambao siyo mzuri na huenda hautakuwa na tija sana kwa sababu kampeni ni za wazi na zinasikilizwa na watu wengi sana kwa uwazi kabisa. Kwa hali ilivyo sasa, kila kauli ya mgombea urais hujadiliwa kwa mapana na marefu yake, km Tume inasimamia haki, naamini ingeshakusanya kijiji cha wapiga kampeni wenye kukiuka maadili kwa ngazi zote za wagombea.

Tume itende na kusimamia haki kwa kutoegemea upande wowote vinginevyo itakuwa chanzo vurugu.
 
Referee kaokoa goli na anawafundisha washindani jinsi ya kufunga? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema huyu inajulikana ni CCM lialia japo angejificha walau kidogo!
 
Huyi Mkurugenzi anatupangia kile tunacho paswa kukisikia au yeye yupo kwa ajili ya kumpigia kampeni mgombea anaye ongelea hayo anayo yasema yeye!?
 
Mkurugenzi wa uchanguzi hana mamlaka ya kutudemea Watanzania, hatujamtuma atusemee mahala popote.

Sijui watanzania wanataka umeme yeye yanamuhusu nini, sisi tulimwambia lini, wapi na tulimwambia kam nani?

Aache kihetehere.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejikuta nacheka tu, kweli mkuu aseme tulimtuma yeye kama nani??

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kwan ivyo alivyo vitaja Tundulisu hawez vifanya kama Rais mbona coment zenu zinaonesha kama Vitu ivyo ni Magufuli ndie anae Zungumziwa vip Tundulisu Hana sifa izo???

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu ndiye mkurugenzi anayesema haya?[emoji16] mbona mawazo yake yanafanana na ya Boss?
 
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE
HATUFAI
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE
HATUFAI
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE
HATUFAI
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE
HATUFAI
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE
HATUFAI
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE
HATUFAI
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE
HATUFAI
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE
HATUFAI
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE
HATUFAI
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE
HATUFAI
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE
HATUFAI
MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE
HATUFAI
 
Ndio sababu wananchi wengi wanataka kuwepo na Tume Huru ya Uchaguzi. Tume ambayo itatoa haki kwa vyama vyote.
Inatakiwa kwanza Katiba mpya ndani yake ikiwa ina tume huru ya uchaguzi ndio suruhisho la kelele za uchaguzi mkuu.
Kutaka kukimbilia uchaguzi bila tume huru,huku ukijua kuna dosari kadha zitakazokunyima ushindi ni ujinga.
Wapinzani wasikimbilie uchaguzi bila tume huru,kwanza wapiganie katiba mpya yenye mashiko ndio waje kushiriki uchaguzi mkuu,hakuna mbadala wake.
 

Mkurugenzi NECCM Bwana Mahera ni kikaragosi Cha Magufuli.
Huyu jamaa Kama nji itaingia kwenye vurugu baada ya Uchaguzi lazima awajibike ikiwemo kufikishwa mbele ya Mahakama ya Jinai ya Kimataifa(ICC).
 
Yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
Duuuu! Mkuu kuna sehemu umeteleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…