Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Huyu ndiye mkurugenzi anayesema haya?[emoji16] mbona mawazo yake yanafanana na ya Boss?
View attachment 1583301
Huyo mkurugenzi anaropoka tu kama kawekewa la kati,lissu sio size yake na hana muda na tume ambayo imejaza makada wa ccm...ajibu majaliwa anafanya kampeni kila mkoa kama nani?Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!
Amesema watanzania hawataki viongozi watakaochukua madini yao na kwenda kuyauza kwa wageni nje, watanzania wanataka viongozi watakaotetea madini yao
Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza kumuandikia barua Tundu Lissu ili kutoa maelezo dhidi ya tuhuma za uongo anazotuhumiwa kuzitoa
Amesema Tundu Lissu amekuwa akitangaza matusi, tuhuma na kudanganya wafanyakazi badala ya kutangaza sera
==
YALIYOZUNGUMZWA KWENYE VIDEO YA MKURUGENZI WA UCHAGUZI NEC
Kwa mamlaka ya kisheria Tume iliyonayo, tayari imemuandikia Barua Mh. Tundu Lissu ya kumuita katika Kamati ya Maadili ya Kitaifa ili aje kutoa maelezo na ushahidi wa kile alichokisema katika mkutano wake huko Musoma.
Kwa mara nyengine tena Tume inawasihi Wagombea wa Vyama vyote kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi ili kulinda amani ya nchi yetu, katika kipindi cha kampeni kilichobaki kwa kujali muda wa kampeni, ratiba za kampeni na kuepuka matusi, sababu unatumia muda mwingi kutangaza matusi badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kutangaza tuhuma badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kuwadanganya Watanzania na wafanyakazi badala ya kutangaza sera.
Watanzania sasa hivi wanataka Afya iliyoimarika, Watanzania sasa hivi wanataka barabara nzuri, Watanzania sasa hivi wanataka miradi ya umeme, Watanzania sasa hivi wanataka elimu bora, Watanzania hawataki bra bra. Watanzania sasa hivi wanataka viongozi ambao watalinda madini yao, sio viongozi watakaokuja kuchukua madini yao na kupeleka kwa wageni nje.
Kwanini Mahera anapigia kampeni Magufuli ?Lissu ajikite kwenye sera sio vibweka
Huyo ndio msemaji wa ccm,yani wamedata nzi wa kijaniTunaposema Lissu ni hatari ndio muelewe. Mkurugenzi wa uchaguzi kachanganyikiwa na kuanza kunadi sera kama kichaa. Sasa kama kibaraka hofu yake ni dhahiri namna hii ‘bosi’ wake ana hali gani?
Hii sio aibu, ni fedheha!
Vyote kwa pamoja vinapiganwa tulia.Inatakiwa kwanza Katiba mpya ndani yake ikiwa ina tume huru ya uchaguzi ndio suruhisho la kelele za uchaguzi mkuu.
Kutaka kukimbilia uchaguzi bila tume huru,huku ukijua kuna dosari kadha zitakazokunyima ushindi ni ujinga.
Wapinzani wasikimbilie uchaguzi bila tume huru,kwanza wapiganie katiba mpya yenye mashiko ndio waje kushiriki uchaguzi mkuu,hakuna mbadala wake.
Waambie nec wamuulize majaliwa anazunguka kama nani kufanya kampeni,huu uchaguzi mtaharisha motoLissu ajikite kwenye sera sio vibweka
Sababu ameshindwa ficha hisia zake za ukadaKwanini Mahera anapigia kampeni Magufuli ?
Ndio maana kila siku tunatukanwa na hivi vi PhD vyetu, yaani baada ya kusota miaka 3 na zaidi mtu ukiona tonge unapoteza heshima yako. Nani kamwambia watatnzania wanataka nini na hawataki nini? Tume inatakiwa iwe neutral iangalie sheria zinafuatwa FULLSTOP. Sasa hapa analianzisha na Lissu halafu atasema ametukanwa.Tunaposema Lissu ni hatari ndio muelewe. Mkurugenzi wa uchaguzi kachanganyikiwa na kuanza kunadi sera kama kichaa. Sasa kama kibaraka hofu yake ni dhahiri namna hii ‘bosi’ wake ana hali gani?
Hii sio aibu, ni fedheha!
Uovu upi?Yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
Anafanya kazi ya polepole Duh wame changanyiwa kweli kweli ole wao waibe kura wahuni kweli hawa!Tunaposema Lissu ni hatari ndio muelewe. Mkurugenzi wa uchaguzi kachanganyikiwa na kuanza kunadi sera kama kichaa. Sasa kama kibaraka hofu yake ni dhahiri namna hii ‘bosi’ wake ana hali gani?
Hii sio aibu, ni fedheha!
Mwanzo hadi mwisho naona CCM wanamlisha Lissu maneno. Hawa ndio wale wanafunzi anasoma swali halielewi halafu anatunga la kwake na kulijibu. Akifeli analia kama hana akili.Amesema wapi kuwa anataka kuweka Ardhi rehani? Ndio mlivyoshikwa akili na makalio hadi NEC kujichanganya kiasi hiki.
AIBU!
Huyu mkurugezi ni utopolo tu.Huyo rais atatetea madini ya watanzania dhidi ya nani,atuambie kwanza hilo? Hivi huyu ni kabila gani hasa?Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!
Amesema watanzania hawataki viongozi watakaochukua madini yao na kwenda kuyauza kwa wageni nje, watanzania wanataka viongozi watakaotetea madini yao
Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza kumuandikia barua Tundu Lissu ili kutoa maelezo dhidi ya tuhuma za uongo anazotuhumiwa kuzitoa
Amesema Tundu Lissu amekuwa akitangaza matusi, tuhuma na kudanganya wafanyakazi badala ya kutangaza sera
==
YALIYOZUNGUMZWA KWENYE VIDEO YA MKURUGENZI WA UCHAGUZI NEC
Kwa mamlaka ya kisheria Tume iliyonayo, tayari imemuandikia Barua Mh. Tundu Lissu ya kumuita katika Kamati ya Maadili ya Kitaifa ili aje kutoa maelezo na ushahidi wa kile alichokisema katika mkutano wake huko Musoma.
Kwa mara nyengine tena Tume inawasihi Wagombea wa Vyama vyote kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi ili kulinda amani ya nchi yetu, katika kipindi cha kampeni kilichobaki kwa kujali muda wa kampeni, ratiba za kampeni na kuepuka matusi, sababu unatumia muda mwingi kutangaza matusi badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kutangaza tuhuma badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kuwadanganya Watanzania na wafanyakazi badala ya kutangaza sera.
Watanzania sasa hivi wanataka Afya iliyoimarika, Watanzania sasa hivi wanataka barabara nzuri, Watanzania sasa hivi wanataka miradi ya umeme, Watanzania sasa hivi wanataka elimu bora, Watanzania hawataki bra bra. Watanzania sasa hivi wanataka viongozi ambao watalinda madini yao, sio viongozi watakaokuja kuchukua madini yao na kupeleka kwa wageni nje.
Kumbe NECCCM Tumeccm nao wanagombea Urais?Lissu ajikite kwenye sera sio vibweka