Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Wakati Lisu anapiga kelele mwaka 1998 juu ya mikataba mibovu ya madini huyo magufuli alikuwa Bungeni kuidhinisha mikataba hiyo kwa kugonga meza kwa kusema ndiyo
 
Kesha poteza credibility huyu. Upambe ni mbaya na sasa amethibitisha yale yaliosemwa na wapinzani. HAFAI, HAFAI, HAFAI.
NECCCM Tumeccm ni chombo binafsi cha CCM ni Tawi la CCM wamepoteza sifa za kuwa tume huru ya uchaguzi
 
Kama kweli maneno hayo yalitamkwa na mkurugenzi wa Tume basi mwaka huu tuna balaa kubwa. Ina maana hiyo ofisi sasa imakaliwa na mtu mjinga ambaye hajui hata majukumu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watawala wameshapanic sana, Magu keshalegea kulegea sana, Bashiru anawatisha tu wanaCCM, PolePole anavurumisha matusi, Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ameingia kupiga kampeni
NECCCM Tumeccm wanatembea na matokeo mifukoni mwao wamechukua kura za mwaka 2015 wameongezea kiasi ndizo watazitangaza, hakuna haja ya kampeni kama Tumeccm tayari wana matokeo mifukoni mwao
 
CCM pumuzi imekata ss wanawategemea NEC msajili na polic
 
Kwa tume hii alafu lisu anadai atashinda kweupe afadhali tume mmemuonesha hamna undugu na upinzani
Mungu kawaumbua NECCCM Tumeccm mapema ujue mungu kachoka na uonevu unyanyasaji mwingi tokea CCM kwenda kwa wapinzani
 
Huyu ameshavuruga amani asubiri majibu tu punguani mkubwa huyu. Tunawaambia hii time Ni vinyago vya Magu watu hiwa hawaelewi Sasa subiri yatokee yakutokea tumtupe the Hague farasi mweusi huyu
 
Huyu ameshavuruga amani asubiri majibu tu punguani mkubwa huyu. Tunawaambia hii time Ni vinyago vya Magu watu hiwa hawaelewi Sasa subiri yatokee yakutokea tumtupe the Hague farasi mweusi huyu
Tayari ICC The Hague wapo kazini wanamchunguza mkurugenziccm wa Tumeccm kwa undani baada ya kuonekana akiandaa mazingira ya uvunjifu wa Amani Tanzania
 
kwahiyo mkurugenzi amekuja na maelekeza ya jiwe baada ya kikao cha dodoma siyo,watanzania hatudanganyiki hata kidogo tunamuelewa sana Lisu na tuko naye begakwabega hadi ushindi oct28 jiwe lazima angukie pua safari hii
 
huyu naye chi-zi kwani kwa sasa madini yanauzwa wapi! hapa Tanzania yanaliwa?
 
kwahiyo mkurugenzi amekuja na maelekeza ya jiwe baada ya kikao cha dodoma siyo,watanzania hatudanganyiki hata kidogo tunamuelewa sana Lisu na tuko naye begakwabega hadi ushindi oct28 jiwe lazima angukie pua safari hii
Mkurugenziccm hafanyi kazi kwa mjibu wa Sheria na katiba bali anafanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Kwahiyo nikweli mnafahamu upinzani lengo kuu nikutoreshea huko kwa povu hili sindio?
 
Yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
Mkuu unataka kusema mkurugezi wa uchaguzi na mh.magufuli wanaakili kuliko watanzania wote 60 milioni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…