Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Du !! Nashangaa kuliko maelezo.

Eti Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao nje? Kwani sasa kabla huyo mtu anayetaka urais hajaingia ikulu hayo madini yanauzwa Kariakoo? Si nje ya nchi?

Huyu anaposema "Watanzania hawataki" amewahoji Watanzania milioni sitini waliopo ndipo akajua kitu wasichotaka?

Ni aibu mtu msomi uliyeaminiwa kushika wadhifa mkubwa kiasi hicho unaweza kusema maneno kama haya !!! Du !!! Aibu ...!!!
 
Mkurugenzi wa uchaguzi umepoteza uhalali wako kwa kazini kukalia kiti ,Tunapozungumzia free and fair election tuna angalia mambo mengi sana .Kwanza kabisa wewe ni kada wa CCM .Udhititisho wa video zinazo onekana zinaonyesha haikuo Neutral. Vurugu za uchaguzi hazita anzishwa na lissu au Magufuli bali ni wewe na ofili yako.

Mpaka sasa malalamiko kadhaa ya watia nia umeyakalia ofisini kwako.Usipendelee upended wowote Chadema wakikosea waite. CCM wakikosea waite. Kasimu Majaliwa anafanya kampeni za uchaguzi umekaa kimyaa. Bi kinyume na katika. Uchaguzi wa jamani utanzia ofisini kwako
 
Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utayaina ya firauni, Tume imekuwa ya Mgombea wa CCM?

Tume ya kwanza kutokea tangu kuubwa kwa dunia!
 
Mimi sina LA kusema zaidi namuomba Mwenyezi MUNGU amlinde na kumpigania shujaa TUNDU LISSU.
 
Ameshaandaa mshindi?
 
L8su hajaipata hii
 
Mhhhhhhh Hapa mkurugenzi wa NEC ameharibu; imekuwaje mpaka amegeuka kuwa mpiga kampeni
 
Mhhhhhhh Hapa mkurugenzi wa NEC ameharibu; imekuwaje mpaka amegeuka kuwa mpiga kampeni
What I know for sure is , this october i’m voting for TUNDU LISSUu for so many reasons. but the biggest of all is that i don’t want to see some insecure, paranoid man in the highest office in the country who cares very little about laws and constitution. i also ask you to vote for TUNDU LISSU.

Babymama cariha , pls join me
 
Amesema kweli watanzania tunahitaji maendeleo hayo, ndiyo maana tutamchagua JPM kwa kura za mafuriko.
 
Huyo ni moja ya timu yake Jiwe ya kikosi cha kihutu , mhutu mkuu , kakuru , Mahera namba za kihutu ndio maana wanaongea vitu havieleweki labda kwa wahutu wenzao kina Ndaishimiye .
 
4.2Yasiyotakiwa kufanywa na Tume
Mambo yasiyotakiwa kufanywa na Tume ni pamoja na-
(a) kupendelea chama chochote cha siasa au mgombea yeyote;
(b) kubadili ratiba za kampeni za uchaguzi bila kushirikisha vyama vya siasa;
(c) kuchelewa au kupeleka vifaa pungufu katika vituo vya kupigia kura bila sababu za msingi; na
(d) kuchelewa kutangaza matokeo ya uchaguzi bila sababu za msing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…