Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Dr Mahera usisahau kuwa wewe ni refa na mwamuzi. Wewe siyo kuwasemea wapiga kura wanachokitaka au siyo wewe unayeshauri vyama vya siasa viwe na sera zipi?
 
sheria kuu ya ardhi ya Tanzania inasema ardhi yote inamilikiwa na serikali ya jamhuri. Kuongezea hapo mtu anaeweza kumiliki ardhi nchini lazima awe mtanzania, anachotaka kufanya huyo bwana ni kuibadilisha sera hii na kuruhusu wageni kuwa na uhalali wa kumiliki ardhi na hili lipo kuanzia kwenye ilani ya CDM ya 2010. Hao wachimbaji wadogo ni raia wa nchi gani? Ni kama ambavyo total amewekeza kwenye mafuta lakini mmiliki wa mafuta ni mganda.
 
Kwani sasa hayo madini yanauzwa wapi ?
Wamunuzi na wachimbaji ni Mabeberu.
Wawe wa magharibi au machina.
Kuna siku Zimbabwe au cuba kaja kununua ?
Ujinga wa huyu Mahare ni kiwango cha udaktari wake feki.
 
Mkurugenzi waTume ya uchaguzi hawezi kutusemea watanzania, eti Watanzania hawamtaki mtu atakayeuza madini yetu nje...... alikutana wapi na hao Watanzania?

Unajua nini?
Hapa ndipo inapo dhihirisha kuwa hii siyo Tume Huru ya Uchaguzi. Mkurugenzi huyu yuko pale kumfanyia Kampeni Magufuli na Chama chao CCM....nothing else!!
 
Bora huyu tobo Lissu akalishwe na aonywe. Tunataka sera sio matusi nakashfa.
Amevumiliwa sana mpuuzi huyu! Km vp arudishwe kwao ubelgiji.
Mijitu ya chadema km imekatwa vichwa yanataka kuuzwa yenyewe yanakenua tu.
We pimbi, hiko kikundi chenu ni kidogo mno. Usijisahau.
Bila wizi TAL ndo Rais wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…