Jemedali huyi mnamuona kama mtu special sana watu wa Simba kwamba hawezi kukosea? Jemedari bora angeandika kuwa Nabi bado mpaka sasa hajapewa approval kuliko kuandika Nabi kakosa vigezo vya kukaa benchi. Yeye Jemedari ndiye CAF? Kama CAF hawakutoa majibu je yeye huo ujasiri wa kuwasemea CAF anautoa wapi?mzee wa bwaksi Pekee ndo alisema kuwa hawezi kushangazwa na taarifa hizi kwa kuwa Jemedar Said kuna ambao wanampa habari za ndani kabisa.
Wengine walikuwa wanapayuka tu hapa JF bila mpango.
Uongozi wa malinzi na yanga Tanzania ilichukua afcon sio na Tanzania ilikuwa inatoa team nne Caf champions league kama sasa hivi.TFF hii ya Simba, lazima watoe ufafanuzi kila jambo linalogusa Yanga ukubali ukatae ndio ukweli [emoji23], kiufupi ni kuwa TFF pale hakuna la maana wanaloweza kufanya zaidi ya kudidimiza tu mpira wa bongo, na hakuna la maana watafanya huu uongozi wa Karia, ukweli mchungu
Hilo agizo ni jipya msimu huu ndo limeanza kutekelezwa baada ya mwaka jana kutoka na wengine kuto ruhusiwa kutokana na vigezoTFF hii ya Simba, lazima watoe ufafanuzi kila jambo linalogusa Yanga ukubali ukatae ndio ukweli [emoji23], kiufupi ni kuwa TFF pale hakuna la maana wanaloweza kufanya zaidi ya kudidimiza tu mpira wa bongo, na hakuna la maana watafanya huu uongozi wa Karia, ukweli mchungu
Hiyo email alitumiwa kama nani....,? kwani yeye anahusika na nini apo tff...?Jemedari amesema alitumiwa ujumbe kwenye email muda mfupi tu baada ya Nabi kupewa approval kabla hajaonekana benchi
Ila kwa bahati mbaya hakuweza kuusoma huo ujumbe alikuwa offline, alipokuja kumuona Nabi akiwa benchi akafungua email akakuta ujumbe wa update kuonesha Nabi amepewa approval ila ikawa too late kwasababu tayari kila mmoja alishamuona benchi
Muongeze na swali lingine, hiyo email katumiwa na naniHiyo email alitumiwa kama nani....,? kwani yeye anahusika na nini apo tff...?
N i kweli kukubwa katika hili sakata la mgunda ni kwamba kwenyebile list ya makocha wenye kutambulika na leseni A kuna wengi hawakuwepi na waliambiwa walifaulu.TFF hii ya Simba, lazima watoe ufafanuzi kila jambo linalogusa Yanga ukubali ukatae ndio ukweli 😂, kiufupi ni kuwa TFF pale hakuna la maana wanaloweza kufanya zaidi ya kudidimiza tu mpira wa bongo, na hakuna la maana watafanya huu uongozi wa Karia, ukweli mchungu
Endeleni hivyo hivyo tu ya kuwa na sitofahamu.tena.Naomba nifahamishwe kidogo,hivi msimu ulopita dhidi ya Wanaijeria nani aliongoza timu?Kama ni yeye inakuwaje kuwe na approval nyingine?
Ndio mjue kocha wenu hakuna na approval,mpunguze midomoKwa hiyo tufanyeje sasa!
Wewe jamaa utakuwa ni punga,huna kazi na una stress.Akihojiwa na kituo cha Radio cha EFM kupitia kipindi cha Sports HQ mapema leo September 12, 2022 Mkurungenzi wa ufundi wa TFF, Oscar Milambo amethibitisha kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Mohamed Nabi alikuwa anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF kukaa kwenye benchi la Yanga SC mpaka ilipokuja idhini muda mchache kabla ya mpira kuanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Nabi hasingekaa jukwaani kwasababu sheria ya CAF juu ya aina ya vyeti vinavyomruhusu kocha kukaa kwenye bench imeanza msimu uliopita. Na kipindi hicho Nabi alikuwa na Yanga na Gomes akiwa na Simba. Lakini Nabi hakukutana na hiko kipengele kwasababu ana vyeti stahiki vya CAF hivyo aliiongoza Yanga kwa mechi zote mbili. Ila Gomes ilishindikana kwasababu hakuwa na vyeti stahiki vya CAFEndeleni hivyo hivyo tu ya kuwa na sitofahamu.
Kwani tuliwafahamisha sana hapa ila hamkutaka tu kuelewa, kuwa hata Kocha wa Simba Gomez da Rosa baadhi ya game alikaa benchi la Simba michuano ya CAF, baadaye ikaja taarifa kuwa hana vigezo.
Akamua kukaa kwenye Jukwaa, sasa kwanini iwe ajabu kwa Nabi?
Kauli ya kwanza alisema Nabi kama Mgunda Wote wanasubiri ruhusa (Approval) ya CAF.Jemedali huyi mnamuona kama mtu special sana watu wa Simba kwamba hawezi kukosea? Jemedari bora angeandika kuwa Nabi bado mpaka sasa hajapewa approval kuliko kuandika Nabi kakosa vigezo vya kukaa benchi. Yeye Jemedari ndiye CAF? Kama CAF hawakutoa majibu je yeye huo ujasiri wa kuwasemea CAF anautoa wapi?
Nani amtumie email na atumiwe yeye kama nani?Jemedari amesema alitumiwa ujumbe kwenye email muda mfupi tu baada ya Nabi kupewa approval kabla hajaonekana benchi
Ila kwa bahati mbaya hakuweza kuusoma huo ujumbe alikuwa offline, alipokuja kumuona Nabi akiwa benchi akafungua email akakuta ujumbe wa update kuonesha Nabi amepewa approval ila ikawa too late kwasababu tayari kila mmoja alishamuona benchi
Kama muandishi wa habari za michezoHiyo email alitumiwa kama nani....,? kwani yeye anahusika na nini apo tff...?
Swala la katumiwa na nani hiyo privacy kati ya mtumiwaji na mpokeaji chakuzingatia ni habari ni ya kweli au sio kweliMuongeze na swali lingine, hiyo email katumiwa na nani
"Sisi tuna watu"Nani amtumie email na atumiwe yeye kama nani?