Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Jemedali huyi mnamuona kama mtu special sana watu wa Simba kwamba hawezi kukosea? Jemedari bora angeandika kuwa Nabi bado mpaka sasa hajapewa approval kuliko kuandika Nabi kakosa vigezo vya kukaa benchi. Yeye Jemedari ndiye CAF? Kama CAF hawakutoa majibu je yeye huo ujasiri wa kuwasemea CAF anautoa wapi?mzee wa bwaksi Pekee ndo alisema kuwa hawezi kushangazwa na taarifa hizi kwa kuwa Jemedar Said kuna ambao wanampa habari za ndani kabisa.
Wengine walikuwa wanapayuka tu hapa JF bila mpango.