Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF athibitisha Kocha Nabi alikuwa anasubiri idhini (Approved) ya CAF

Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF athibitisha Kocha Nabi alikuwa anasubiri idhini (Approved) ya CAF

mzee wa bwaksi Pekee ndo alisema kuwa hawezi kushangazwa na taarifa hizi kwa kuwa Jemedar Said kuna ambao wanampa habari za ndani kabisa.

Wengine walikuwa wanapayuka tu hapa JF bila mpango.
Jemedali huyi mnamuona kama mtu special sana watu wa Simba kwamba hawezi kukosea? Jemedari bora angeandika kuwa Nabi bado mpaka sasa hajapewa approval kuliko kuandika Nabi kakosa vigezo vya kukaa benchi. Yeye Jemedari ndiye CAF? Kama CAF hawakutoa majibu je yeye huo ujasiri wa kuwasemea CAF anautoa wapi?
 
TFF hii ya Simba, lazima watoe ufafanuzi kila jambo linalogusa Yanga ukubali ukatae ndio ukweli [emoji23], kiufupi ni kuwa TFF pale hakuna la maana wanaloweza kufanya zaidi ya kudidimiza tu mpira wa bongo, na hakuna la maana watafanya huu uongozi wa Karia, ukweli mchungu
Uongozi wa malinzi na yanga Tanzania ilichukua afcon sio na Tanzania ilikuwa inatoa team nne Caf champions league kama sasa hivi.
 
TFF hii ya Simba, lazima watoe ufafanuzi kila jambo linalogusa Yanga ukubali ukatae ndio ukweli [emoji23], kiufupi ni kuwa TFF pale hakuna la maana wanaloweza kufanya zaidi ya kudidimiza tu mpira wa bongo, na hakuna la maana watafanya huu uongozi wa Karia, ukweli mchungu
Hilo agizo ni jipya msimu huu ndo limeanza kutekelezwa baada ya mwaka jana kutoka na wengine kuto ruhusiwa kutokana na vigezo
 
Jemedari amesema alitumiwa ujumbe kwenye email muda mfupi tu baada ya Nabi kupewa approval kabla hajaonekana benchi

Ila kwa bahati mbaya hakuweza kuusoma huo ujumbe alikuwa offline, alipokuja kumuona Nabi akiwa benchi akafungua email akakuta ujumbe wa update kuonesha Nabi amepewa approval ila ikawa too late kwasababu tayari kila mmoja alishamuona benchi
Hiyo email alitumiwa kama nani....,? kwani yeye anahusika na nini apo tff...?
 
TFF hii ya Simba, lazima watoe ufafanuzi kila jambo linalogusa Yanga ukubali ukatae ndio ukweli 😂, kiufupi ni kuwa TFF pale hakuna la maana wanaloweza kufanya zaidi ya kudidimiza tu mpira wa bongo, na hakuna la maana watafanya huu uongozi wa Karia, ukweli mchungu
N i kweli kukubwa katika hili sakata la mgunda ni kwamba kwenyebile list ya makocha wenye kutambulika na leseni A kuna wengi hawakuwepi na waliambiwa walifaulu.
Sasa wahahaha kujua ukweli wa mambo.
Na ni muda mrefu tuu wamekuwa wakiomba kujua ukweli kuhusu kozi yao hiyo ya 2017 wakawa wanapigwa maneno matamu.
 
Ni kwamba Nabi hakua na vigezo au Yanga wao walikwamama wapi?
Mbona msimu uliopita Nabi alukuwa benchi
 
tena.Naomba nifahamishwe kidogo,hivi msimu ulopita dhidi ya Wanaijeria nani aliongoza timu?Kama ni yeye inakuwaje kuwe na approval nyingine?
Endeleni hivyo hivyo tu ya kuwa na sitofahamu.

Kwani tuliwafahamisha sana hapa ila hamkutaka tu kuelewa, kuwa hata Kocha wa Simba Gomez da Rosa baadhi ya game alikaa benchi la Simba michuano ya CAF, baadaye ikaja taarifa kuwa hana vigezo.

Akamua kukaa kwenye Jukwaa, sasa kwanini iwe ajabu kwa Nabi?
 
Akihojiwa na kituo cha Radio cha EFM kupitia kipindi cha Sports HQ mapema leo September 12, 2022 Mkurungenzi wa ufundi wa TFF, Oscar Milambo amethibitisha kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Mohamed Nabi alikuwa anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF kukaa kwenye benchi la Yanga SC mpaka ilipokuja idhini muda mchache kabla ya mpira kuanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Wewe jamaa utakuwa ni punga,huna kazi na una stress.
 
Endeleni hivyo hivyo tu ya kuwa na sitofahamu.

Kwani tuliwafahamisha sana hapa ila hamkutaka tu kuelewa, kuwa hata Kocha wa Simba Gomez da Rosa baadhi ya game alikaa benchi la Simba michuano ya CAF, baadaye ikaja taarifa kuwa hana vigezo.

Akamua kukaa kwenye Jukwaa, sasa kwanini iwe ajabu kwa Nabi?
Nabi hasingekaa jukwaani kwasababu sheria ya CAF juu ya aina ya vyeti vinavyomruhusu kocha kukaa kwenye bench imeanza msimu uliopita. Na kipindi hicho Nabi alikuwa na Yanga na Gomes akiwa na Simba. Lakini Nabi hakukutana na hiko kipengele kwasababu ana vyeti stahiki vya CAF hivyo aliiongoza Yanga kwa mechi zote mbili. Ila Gomes ilishindikana kwasababu hakuwa na vyeti stahiki vya CAF
 
Jemedali huyi mnamuona kama mtu special sana watu wa Simba kwamba hawezi kukosea? Jemedari bora angeandika kuwa Nabi bado mpaka sasa hajapewa approval kuliko kuandika Nabi kakosa vigezo vya kukaa benchi. Yeye Jemedari ndiye CAF? Kama CAF hawakutoa majibu je yeye huo ujasiri wa kuwasemea CAF anautoa wapi?
Kauli ya kwanza alisema Nabi kama Mgunda Wote wanasubiri ruhusa (Approval) ya CAF.

Suala si Uspecial na kwamba hakosei hata Mimi na Wewe tunakosea kama binadamu, lakini kwa hili alikuwa sahihi asilimia [emoji817]
 
Jemedari amesema alitumiwa ujumbe kwenye email muda mfupi tu baada ya Nabi kupewa approval kabla hajaonekana benchi

Ila kwa bahati mbaya hakuweza kuusoma huo ujumbe alikuwa offline, alipokuja kumuona Nabi akiwa benchi akafungua email akakuta ujumbe wa update kuonesha Nabi amepewa approval ila ikawa too late kwasababu tayari kila mmoja alishamuona benchi
Nani amtumie email na atumiwe yeye kama nani?
 
Hiyo email alitumiwa kama nani....,? kwani yeye anahusika na nini apo tff...?
Kama muandishi wa habari za michezo

Alishawahi kuwa na uongozi hapo TFF, ye kama mwana habari bado anaweza kupenyezewa habari za mapema kutoka kwa wahusika wa ndani kabla ya habari kuwa officia announced
 
Muongeze na swali lingine, hiyo email katumiwa na nani
Swala la katumiwa na nani hiyo privacy kati ya mtumiwaji na mpokeaji chakuzingatia ni habari ni ya kweli au sio kweli

Hujawahi soma au sikiliza makala ya habari ambapo mwanzoni mtangazaji anasema "mtu fulani ambaye hakutaka jina lake lifahamike aliongea na kituo chetu cha habari"

Basi hivyo ndivyo inavyokuwa
 
Hiyo Approve au leseni inatolewa kila mwaka Kama za biashara halmashauri?msimu ulipita Nabi akiwa ndio ameingia aliiongoza Yanga dhidi ya Riverplates ya Nigeria mechi zote mbili.
Ufafanuzi please
 
Back
Top Bottom