TANZIA Mkurugenzi wa Ulinzi, Usalama wa Vyombo vya Majini na Utunzaji wa Mazingira ya Bahari (TASAC ) Mhandisi Japhet Loisimaye afariki dunia

Huyu hakukumbukwa hata kwa glass moja ya remedy kutoka Madagascar? RIP Mkurugenzi
 
Leo hii Mei 10, 2020 jijini Dar es salaam,tumempoteza Mhandisi, Japhet Loisimaye, aliyekuwa Mkurugenzi Ulinzi na Usalama, TASAC.

Awali ya hapo aliwahi kuwa, Mkurugenzi wa kurugenzi za Ulinzi na Usalama wa Vyombo vya majini na Utunzaji Mazingira ya Bahari ( DMSE)

Chanzo cha kifo hakijajulikana.

Ampumzike kwa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole kwake, mbavu na tatizo la kupumua , sijui lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…