B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 May 11, 2020 #61 Habari hizi ni Jumatatu hadi Ijumaa. Jumamosi na Jumapili ni mapumziko. Hadi 23:59 bado mbali sana siku ya leo kumalizika. Eeh mola wetu sikia vilio vyetu sisi waja wako.
Habari hizi ni Jumatatu hadi Ijumaa. Jumamosi na Jumapili ni mapumziko. Hadi 23:59 bado mbali sana siku ya leo kumalizika. Eeh mola wetu sikia vilio vyetu sisi waja wako.
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 10,643 Reaction score 12,247 May 11, 2020 #62 Njia yetu sote hiyo,Allah amwepushe na adhabu ya kabur