NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Ni corona tena au??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni wafiwa.
Kigogo atasema ni covid. Jamaaa mjuaji sana
komesha korona
Watu wanaondoka sio wenye hela sema maarufu ndio wanatangazwaPoleni sana! Dah wenye hela ndo wanaondoka zaidi!...umaskini utazidi aisee
Mkuu masikini tunaondoka zaidi Ila misiba yetu haiandikwi hukuPoleni sana! Dah wenye hela ndo wanaondoka zaidi!...umaskini utazidi aisee
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Ulinzi, Usalama wa Vyombo vya Majini na Utunzaji wa Mazingira ya Bahari (DMSE) Mhandisi Japhet L.Loisimaye kilichotokea Jana Jumapili, tarehe 10 Mei, 2020 jioni jijini Dar es salaam.
Shirika linatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa marafiki na watu wote walioguswa na msiba huu. Taarifa ya mazishi itatolewa kwa wafanyakazi wa Shirika mara baada ya kujulishwa na familia.
Bwana ametoa,Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Imetolewa na Mkurugenzi Mkuu,
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania.
😂 😂 😂 😂 😂
Post namba 4 ndio maana yake.Sorry mkuu..
Hivi hii huaga inamaana gani kwa kiswahili?
Poleni sana! Dah wenye hela ndo wanaondoka zaidi!...umaskini utazidi aisee