Eliminated?
Watawala wakubwa wanakutuma katika kazi chafu za kuchafua uchaguzi, halafu wakiona unaweza kuwa shahidi dhidi yao Mahakama ya Upeo au The Hague ICC Uholanzi, basi waliokutuma hawasiti kukuondoa kwa kukupa ubalozi, kifungo au hata kukunyima uhai wa kuishi.