Ni muda kwa watawala wa bara hili hasa kusini mwa Sahara desert,kutambua kuwa madaraka ni sehemu ndogo katika maisha na sio maisha yenyewe.Nchi kama ya Botswana imefanya uchaguzi wa kistaarabu kabisa na kufanya power transition bila shida yoyote.
Jinsi matendo yetu watu weusi yanavyo kuwa ya kipumbavu ndivyo watu weusi wanatuona si binadamu tulio kamili.
Shame on us