Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Wilaya ya Mbulu ambaye ni msimamizi wa uchaguzi adaiwa kuanza kuipigia kampeni CCM, tena kabla ya muda

Hicho ni kikundi cha vijana wa chato wanaishi kwa shughuli hii
 
Sijui tumefikaje hapa... Sio sijui kwa maana sioni yaliyotufikisha hapa ila nashangaa kwanini tumeruhusu kufikia hapa
 
Kwanza huyu jamaa ana wazigua gani kwa mfano?

Maana alikuwa mtangazaji tu wa redio.

Sababu mtu kuwa DED anatakiwa walau awe amesomea shahada ya Uchumi, fedha, uhasibu, maana yeye anaenda kuwa afisa Masuhuli na ku allocate resources with maximum output.

Sasa taaluma ya uandishi kuwa DED kweli ni sawa? Afadhali hata angekuwa DC tu.

Ndiyo maana nimekuwa nikishauri hizi nafasi zitangazwe watu wafanyiwe usaili na vetting tupate watu sahihi.

Watu wa system mshaurini Mkuu kwa usahihi jamani tuweze kuzitumia rasilimali zetu vizuri ktk kuleta tija kwa Taifa na vizazi vyetu vya sasa na vijavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…