Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Wilaya ya Mbulu ambaye ni msimamizi wa uchaguzi adaiwa kuanza kuipigia kampeni CCM, tena kabla ya muda

Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Wilaya ya Mbulu ambaye ni msimamizi wa uchaguzi adaiwa kuanza kuipigia kampeni CCM, tena kabla ya muda

Nimefanya kazi na ccm lakini sijawahi kutana na wanachama wasiokuwa na staha wala weledi kama wanaccm wa jf, kutukana hakukufanyi ueleweke kunakufanya uonekane usiye na maana hata wakati mwingine ukiandika cha maana wakiona jina lako wanajua ni pumba tuu zimejaa, jitahidi uutumie utu uzima wako na uhuru wako kwa hekima na sio matusi.
Hicho ni kikundi cha vijana wa chato wanaishi kwa shughuli hii
 
Kiukweli mwaka huu wakurugenzi lazima tuondoke Roho zenu aisee..ukitangaza tofauti siye tunadeal na ww Kama ww au ndg yko yyte wa damu bc...maana mtakuwa na ulinzi hvyo kuwagusa itakuwa ngumu...mtu Kama Kamoga mnaenda kwao Tanga mnamalizana na ndg zake ka wawili hv bc heshima inarudi mkiwa mna maumivu ya kumkosa mbunge lkn na yy ya kumzika mama au mdogo wake...huo ndo mpango mzima tripu hii
Sijui tumefikaje hapa... Sio sijui kwa maana sioni yaliyotufikisha hapa ila nashangaa kwanini tumeruhusu kufikia hapa
 
Kwanza huyu jamaa ana wazigua gani kwa mfano?

Maana alikuwa mtangazaji tu wa redio.

Sababu mtu kuwa DED anatakiwa walau awe amesomea shahada ya Uchumi, fedha, uhasibu, maana yeye anaenda kuwa afisa Masuhuli na ku allocate resources with maximum output.

Sasa taaluma ya uandishi kuwa DED kweli ni sawa? Afadhali hata angekuwa DC tu.

Ndiyo maana nimekuwa nikishauri hizi nafasi zitangazwe watu wafanyiwe usaili na vetting tupate watu sahihi.

Watu wa system mshaurini Mkuu kwa usahihi jamani tuweze kuzitumia rasilimali zetu vizuri ktk kuleta tija kwa Taifa na vizazi vyetu vya sasa na vijavyo
 
Back
Top Bottom