Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 752
- 320
Hii ni mala ya pili jana kumdunda mtumishi hapa kijiji cha manchali,wiki chache zilizopita ulimfanyia hivyo mwalimu mkuu wa shule ya msingi chinangali 2 hukuridhika ukamshusha na cheo
Je umewahi kujiuliza ni kwanini mliona umuhimu wa kununua wenyewe vifaa vya ujenzi vya shule zoote mkavirundike ofisi ya halmashauri lengo lenu ilikuwa nini je mlitegemea kwa kufanya hivyo huo ujenzi ungeisha kwa wakati?
Sasa mmepaniki na DEO wako wa shule ya msingi unawapiga hovyo WATUMISHi mh rais alitaka maendeleo kwa wananchi wake hajakutuma kuwanyanyasa wananchi wake mbaya zaidi huyo afisa elimu msingi nae anawatisha kuwanyima posho viongozi ambao hawajakamilisha miladi hamkutumwa na mamlaka kufanya hivyo bado una muda
jirekebishe.