Mkurugenzi Wilaya ya Chamwino acha tabia ya kuwapiga Watumishi wa chini yako!

Kupiga ni kosa la kukufukuzisha kazi
 
Boss anakupigaje aise na wewe unamtazama tu mimi siku akidhubutu kunyanyua mkono ndio itakuwa mwisho wa Kibarua Changu, lazima tugawane majengo ya Serikali apo
Wewe ni mwanaume halisi. Ajira ni nzuri ndugu watumishi lakini isitweze utu wako. Unapigwaje kisha ajira? Na watoto nyumbani mkeo wanapata taarifa baba kapigwa makofi na afisa elimu sijui DC au DED umerogwa?
 
Kwa mwandiko uhu, kweri wacha hawanyooshe, 😅hawapige mala Kwa mala!
Huko Dodoma kuna nini?? Ayubu alimtandika mtu
Uandishi wako ndio ungefaa kabisa kupewa tuzo ya uandishi mbovu wa mwezi kama sio mwaka.
 
Post kwenye instagram huko kuna wakubwa wengi sn
 
Watu nchii hii damu ya upigaji imeota mizizi mi swali langu la msingi ni kwanini vifaa vyote vya ujenzi vinunuliwe na halmashauri kwani huko vijijini hakuna kamati za ujenzi nafkiri ilikuwa ni mwanya wakupiga pamoja na onyo la mama samia watu wameweka pamba masikioni.
 
Hatari kama taifa
 
Boss anakupigaje aise na wewe unamtazama tu mimi siku akidhubutu kunyanyua mkono ndio itakuwa mwisho wa Kibarua Changu, lazima tugawane majengo ya Serikali apo
I Like This.
 
Huyo boss itatokea siku kwenye piga piga yake
Atakutana na chizi !

Ova
 
Mtumishi anayepigiwa naye ni mpumbavu.

Mimi naahidi mbele ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa
Sitakubali kupigwa na kiongozi yeyote yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…