Huwa sipendi kusoma nyuzi kama hizi aiseeee....
Maana hua najiuliza maswali mengi na mwisho wa siki najikuta nang'ata meno kwa hasira tu...[emoji53]
Nashukuru umenielewa mkuu, naona jamaa kapaniki😅kuliko hata JobMwenzako kaweka utani kidogo kumuigiza jamaa. Jiongeze basi upate maantiki,usishupaze shingo bure [emoji1][emoji1][emoji1]
Ni kumchana live; apeleke ushenzi wake huko, kuna taratibu za kufuata kama kuna mambo hayako sawa kiutumishi.Nafikiri wanamuhurumia sababu ni mwanamama.
Next time akutoboa jichoMimi nimehabarisha tu sasa ningevunjwa kiuno angekuhabarisha mama YAkO?
Pia hajihurumii ni mwanamama anaweza kudharirika pia kuwasababishia matatizo familia za watu wengine,nafkiri wapigwaji walitumia hekima tu walikuwa na uwezo wa kumlalua tuHuyo boss itatokea siku kwenye piga piga yake
Atakutana na chizi !
Ova
😀😀😀Mimi nimehabarisha tu sasa ningevunjwa kiuno angekuhabarisha mama YAkO?
Na michezo hii inafanywa geti la ikulu lipo mita chache wanataka kuijua rangi ya mama!!Watu nchii hii damu ya upigaji imeota mizizi mi swali langu la msingi ni kwanini vifaa vyote vya ujenzi vinunuliwe na halmashauri kwani huko vijijini hakuna kamati za ujenzi nafkiri ilikuwa ni mwanya wakupiga pamoja na onyo la mama samia watu wameweka pamba masikioni.
😀😀😀Mimi binafsi siwezi ikikubali.Akinipiga labda apotee hapohapo kama upepo.
Wameweka pamba masikioni na miwani ya mbaoNa michezo hii inafanywa geti la ikulu lipo mita chache wanataka kuijua rangi ya mama!!
😀😀😀Hata mimi huwa napandwa na hasira sana nikikuta nyuzi kama hizi aiseee maana kama tukio hili litanikuta mimi basi na kazi nitafukuzwa siku hiyo hiyo kamwe siwezi kukubali kuwa ng’ombe namna hii yani unapigwa tuu na wewe upo upo tuu
Nyani haoni kundule.😁Kwa mwandiko uhu, kweri wacha hawanyooshe, 😅hawapige mala Kwa mala!
Huko Dodoma kuna nini?? Ayubu alimtandika mtu
[emoji85][emoji85]Kama mtumishi mwenyewe ndiyo wewe basi ni bora angekuvunja kiuno kabisa
Watani zangu na bangi nayo inachangia 🤣 🤣 🤣Hapa ndio utaelewa kwa nini watoto wa Kikurya hufundishwa kupigana na kujihami tangu wangali wadogo siyo kama hiyo boya inapigwa halafu inakimbilia kwenye kibodi. Ulitakiwa uwe umeshatoa meno ya mtu hapa kabla ya kuandika uzi
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji849][emoji849]
Hata jiwe asingekupiga!!?Mtumishi anayepigiwa naye ni mpumbavu.
Mimi naahidi mbele ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa
Sitakubali kupigwa na kiongozi yeyote yule.
Kwa hili kupigwa ngumi na mkurungezi lazima ipigwe tu mkuu maana kupigwa kinyonge kiasi hicho ni uzembe.Watani zangu na bangi nayo inachangia 🤣 🤣 🤣