Mhakiki JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 2,385 Reaction score 2,101 Jan 11, 2022 #81 MWANDENDEULE said: Huyo aliyepigwa ni fala alipigwe tu! Inakuwaje mtu mzima unapigwa kiboya umetulia tu bila kujibu mapigo kwa kurusha hata short range misile? Hii nchi ina wanyonge wengi sana sasa nimeanza kuamini Click to expand... Walipokuwa hata kitofali hamna? Aise Bora nirushe akwepe
MWANDENDEULE said: Huyo aliyepigwa ni fala alipigwe tu! Inakuwaje mtu mzima unapigwa kiboya umetulia tu bila kujibu mapigo kwa kurusha hata short range misile? Hii nchi ina wanyonge wengi sana sasa nimeanza kuamini Click to expand... Walipokuwa hata kitofali hamna? Aise Bora nirushe akwepe
cariha JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 22,077 Reaction score 46,549 Jan 11, 2022 #82 Babati said: DC hawezi kufanya chochote DED, bora apost kwenye instagram wakubwa wengi waone au Ummy Click to expand... Sasa hivi ni Bashungwa Ummy yuko afya
Babati said: DC hawezi kufanya chochote DED, bora apost kwenye instagram wakubwa wengi waone au Ummy Click to expand... Sasa hivi ni Bashungwa Ummy yuko afya
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jan 12, 2022 #83 cariha said: Sasa hivi ni Bashungwa Ummy yuko afya Click to expand... Siku naandika alikuwa bado yupo Afya
cariha said: Sasa hivi ni Bashungwa Ummy yuko afya Click to expand... Siku naandika alikuwa bado yupo Afya
cariha JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 22,077 Reaction score 46,549 Jan 12, 2022 #84 Babati said: Siku naandika alikuwa bado yupo Afya Click to expand... Okay
sifi leo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 5,182 Reaction score 8,948 Jan 12, 2022 #85 Kupigwa na mkurugenzi inaa manaa una sifa za kuwa mtumishi lasivyo Wacha wadundwe kama yalibakia na vyeti feki
Kupigwa na mkurugenzi inaa manaa una sifa za kuwa mtumishi lasivyo Wacha wadundwe kama yalibakia na vyeti feki
Kanyawela Senior Member Joined Aug 22, 2015 Posts 183 Reaction score 203 Jan 12, 2022 #86 Naipendatz said: Kama mtumishi mwenyewe ndiyo wewe basi ni bora angekuvunja kiuno kabisa Click to expand... Sitaki kuamini Tanzania ya leo ina wakurugenzi wa namna hiyo
Naipendatz said: Kama mtumishi mwenyewe ndiyo wewe basi ni bora angekuvunja kiuno kabisa Click to expand... Sitaki kuamini Tanzania ya leo ina wakurugenzi wa namna hiyo
Pua ya zege JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 1,941 Reaction score 2,081 Jan 12, 2022 #87 Kanyawela said: Sitaki kuamini Tanzania ya leo ina wakurugenzi wa namna hiyo Click to expand... Ndiyo ujue yupo huyo mashimba ngumi nje nje huyo ngosha😂😀
Kanyawela said: Sitaki kuamini Tanzania ya leo ina wakurugenzi wa namna hiyo Click to expand... Ndiyo ujue yupo huyo mashimba ngumi nje nje huyo ngosha😂😀
gimanini JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 1,798 Reaction score 1,857 Jan 12, 2022 #88 Utapigwaje mura umesimama? Acha uoga mura
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jan 13, 2022 #89 cariha said: Okay Click to expand... Imeonwa