Mkutano Baraza Kuu CHADEMA: Hongera JamiiForums, Hongera Watetezi TV, Hongera Dar Mpya TV- Historia zitawakumbuka

Naamini kabisa kama tungekuwa na Bunge linalojali maslahi ya Tanzania na Watanzania basi asingemaliza hata miaka mitatu Ikulu kwani lingempigia kura ya no confidence. Leo hii angekuwa history lakini tuna Bunge dhaifu lililoamua kuwa ni kitengo cha Ikulu.

Huyu jamaa hatakiwi kuongezewa hata wiki moja ikulu. Ni kumuondoa tu baada ya matokeo ya uchaguzi October 2020 yanakayompa ushindi Lissu.
 
Naamini kabisa kama tungekuwa na Bunge linalojali maslahi ya Tanzania na Watanzania basi asingemaliza hata miaka mitatu Ikulu kwani lingempigia kura ya no confidence. Leo hii angekuwa history lakini tuna Bunge dhaifu lililoamua kuwa ni kitengo cha Ikulu.
Mwisho wa haya yote ni October 2020. Nguvu ya umma inaenda kuamua.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Lissu tayari amechaguliwa kupeperusha bendera ya CDM 2020
 
Amani iwe nanyi wadau!

Mods naomba msiunganishe huu uzi!!

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada! Leo Kuna mkutano muhimu wa Chama kikuu cha Upinzani Chadema , ambapo macho na masikio ya watanzania wapenda demokrasia na wapenda maendeleo yapo kwenye mkutano huu wa Chadema. Moja ya ajenda kuu kwenye mkutano huu ni kumpitisha mgombea wa kitu cha uraisi atakaewakilisha Chadema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu hapo October 2020.

Tofauti na ilivyokuwa kwenye mikutano wa Chama cha Mapinduzi ambapo vyombo vya habari vikubwa vya Tanzania yaani Azam Tv, Clouds Tv, ITV, TBC , Star Tv ukiondoa Channel Ten( Ambao hawa ni channel ya Chama cha mapinduzi) walikuwa wanarusha habari za mikutano ya CCM tena moja kwa moja. Vyombo hivi vilienda mbali kurusha hadi uchaguzi wa kura za maoni za wabunge wa CCM KWENYE Mikutano hii ya Chadema vyombo hivi vya habari vimeacha kwa makusudi kurusha habari za Chama hiki kikuu cha upinzani Tanzania. Sio tu kurusha live Ila hata kwenye pages zao havijaonekana kutoa updates za vikao hivi kama ilivyokuwa katika vikao vya CCM.

Ni vyombo vya habari vichache kama JamiiForums, Mwanahalisi Online, Watetezi Tv pamoja na Dar Mpya ambavyo viko live na vinatoa updates za mikutano ya Chadema. Vyombo vingine vibavyorusha matukio haya ni vya nje navyo ni DW na BBC SWAHILI, Hongereni sana maana historia itakayoandikwa mwaka huu hapo October kwenye uchaguzi Mkuu itawakumbuka.

Napenda kuviambia vyombo hivi vilivyojitoa ufahamu kwa kuwasupport CCM inayoelekea kufa kwa kuwanyima airtime Chadema kuwa baada ya October 2020 wasije sema kuwa wamekumbuka shuka asubuhi. Vijifunze kuwa huru, kutoa taarifa kwa usawa na kuvitreat vyama vyote vya siasa kwa usawa kwa sababu ya kesho ni Mungu tu anayajua.

Napenda kuwaambia pia TCRA pia ambao leo baada ya kuona vikao vya chadema vitaangaliwa mtandaoni kwa live streaming wakaamua kuhujumu kwa kupunguza nguvu ya internet kuwa nao Mungu amewaona. Tundu Lissu ni mpango wa Mungu.

Napenda kusema kwa kumalizia kuwa, Chadema ipo sawa, Chadema iko tayari, Chadema ni Nuru. Naiona Nuru kuu hapo October 2020.

Hongera Tundu Antipas Lissu. Huu ni mwanzo tu. Mungu anaenda kudhuhilisha ukuu wake kwako kwa kukupa rasmi uongozi wa nchi ya Tanzania hapo October 2020. Jiandae
Chadema kazi yenu ni kula ruzuku tu, hivi mmeshindwa nini kuanzisha TV zenu za chama? Ila sishangai hata ofisi moja tu mmeshindwa kujenga, halafu eti mnataka tuwape nchi, thubutuuuuu! Acheni kulialia hadi mnaboa
 
Kura zikihesabiwa hadharani ni lazima afungishwe virago Mkuu.

1596474345673.jpeg

Mwisho wa haya yote ni October 2020. Nguvu ya umma inaenda kuamua.
 
Attachments

  • 8A035E65-0853-4519-A1AE-4F99407B6EDC.jpeg
    8A035E65-0853-4519-A1AE-4F99407B6EDC.jpeg
    62.9 KB · Views: 3
Sasa Rasmi TCRA wamekata live matangazo yote yanayoonesha Mkutano wa Chadema mara tu baada ya Lissu kuanza kuhutubia.

Tunaweka rekodi ya haya matukio yote na wakati sahihi ukifika lazima watu wawajibishwe kwenye makosa ya kuzuia uhuru wa kupata Habari.

Napenda kuwakumbusha TCRA kuwa Mungu yupo na Lissu, Nguvu ya umma ipo na Lissu endeleeni tu na uonevu wenu ila kumbukeni Watanzania wanashihudia yote na hukumu yenu iko njiani
 
Tusiwaamulie wenye vyombo.

Tuwape demokrasia nao. Kwako kama mkutano wa CDM ulikuwa ishu kwa wengine si ishu.

Na hivyo hivyo ulivyokuwa kwa CCM.
 
Hakika tuwashukuru JamiiForimus na mitandao mingine kwa kazi nzuri na bora waliofanya.kwa sasa ni heri kushinda JamiiForums na kwenye mitandao mingine kuliko kufuatilia media za hapa nchini kwani zimepoteza mvuto na pia zimepoteza muelekeo.

Inawezekana wanabanwa, ila nao wao ni wazi wanajiongeza kwa kujipendekeza badala ya kusimamia taalumu yao.

Anywa,yana mwisho haya.
 
Wewe haujipendekezi kwa Jamiiforums kwasababu wanarusha unachokipenda?
 
Hakika tuwashukuru JamiiForimus na mitandao mingine kwa kazi nzuri na bora waliofanya.kwa sasa ni heri kushinda JamiiForums na kwenye mitandao mingine kuliko kufuatilia media za hapa nchini kwani zimepoteza mvuto na pia zimepoteza muelekeo.

Inawezekana wanabanwa, ila nao wao ni wazi wanajiongeza kwa kujipendekeza badala ya kusimamia taalumu yao.

Anywa,yana mwisho haya.
Mkuu nitafutie hotuba ya mwisho ya Lissu wakati anashukuru baada ya Nyarandu kushukuru. Wakati anaanza kutoa madini walikata Live-streaming

Mkuu bagamoyo pia naomba uiweke hotuba ya Lissu ya mwisho kushukuru wajumbe. Huyu jamaa akiongea natamani asimalize
 
3 August 2020
Dar es Salaam, Tanzania

LISSU ATAJA SIFA ZA MGOMBEA WA CHADEMA | AOMBA KURA | ATAJA USHINDI WA KIMBUNGA

Amani iwe nanyi wadau!

Mods naomba msiunganishe huu uzi!!

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada! Leo Kuna mkutano muhimu wa Chama kikuu cha Upinzani Chadema , ambapo macho na masikio ya watanzania wapenda demokrasia na wapenda maendeleo yapo kwenye mkutano huu wa Chadema. Moja ya ajenda kuu kwenye mkutano huu ni kumpitisha mgombea wa kiti cha uraisi atakaewakilisha Chadema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu hapo October 2020.

Tofauti na ilivyokuwa kwenye mikutano wa Chama cha Mapinduzi ambapo vyombo vya habari vikubwa vya Tanzania yaani Azam Tv, Clouds Tv, ITV, TBC , Star Tv ukiondoa Channel Ten( Ambao hawa ni channel ya Chama cha mapinduzi) walikuwa wanarusha habari za mikutano ya CCM tena moja kwa moja. Vyombo hivi vilienda mbali kurusha hadi uchaguzi wa kura za maoni za wabunge wa CCM KWENYE Mikutano hii ya Chadema vyombo hivi vya habari vimeacha kwa makusudi kurusha habari za Chama hiki kikuu cha upinzani Tanzania. Sio tu kurusha live Ila hata kwenye pages zao havijaonekana kutoa updates za vikao hivi kama ilivyokuwa katika vikao vya CCM.

Ni vyombo vya habari vichache kama JamiiForums, Mwanahalisi Online, Watetezi Tv pamoja na Dar Mpya ambavyo viko live na vinatoa updates za mikutano ya Chadema. Vyombo vingine vibavyorusha matukio haya ni vya nje navyo ni DW na BBC SWAHILI, Hongereni sana maana historia itakayoandikwa mwaka huu hapo October kwenye uchaguzi Mkuu itawakumbuka.

Napenda kuviambia vyombo hivi vilivyojitoa ufahamu kwa kuwasupport CCM inayoelekea kufa kwa kuwanyima airtime Chadema kuwa baada ya October 2020 wasije sema kuwa wamekumbuka shuka asubuhi. Vijifunze kuwa huru, kutoa taarifa kwa usawa na kuvitreat vyama vyote vya siasa kwa usawa kwa sababu ya kesho ni Mungu tu anayajua.

Napenda kuwaambia pia TCRA pia ambao leo baada ya kuona vikao vya chadema vitaangaliwa mtandaoni kwa live streaming wakaamua kuhujumu kwa kupunguza nguvu ya internet kuwa nao Mungu amewaona. Tundu Lissu ni mpango wa Mungu.

Napenda kusema kwa kumalizia kuwa, Chadema ipo sawa, Chadema iko tayari, Chadema ni Nuru. Naiona Nuru kuu hapo October 2020.

Hongera Tundu Antipas Lissu. Huu ni mwanzo tu. Mungu anaenda kudhuhilisha ukuu wake kwako kwa kukupa rasmi uongozi wa nchi ya Tanzania hapo October 2020. Jiandae
CCM walilipia hizo media nyinyi mnashindwa nini?,hakuna vya bure
 
3 August 2020
Dar es Salaam, Tanzania

LISSU ATAJA SIFA ZA MGOMBEA WA CHADEMA | AOMBA KURA | ATAJA USHINDI WA KIMBUNGA

Mkuu acha hii ya kuomba kura za wajumbe. Kuna ya mwisho kabisa ya usiku huu ya kushukuru baada ya wajumbe kumpigia kura nyingi za ushindi. Hii ndo watanzania wengi hawajaiona maana Live streaming ilikatwa baada tu ya kuanza kuhutubia.

Tutafutie hii hotuba Mkuu maana jamaa alianza kutema madini ya hatari wakatukatia
 
Nimeitafuta sijaweza kuipata aiceeee
 
Siku hizi watu wanafuatilia habari zaidi dw,bbc na voa swahilis
 
Nimeitafuta sijaweza kuipata aiceeee
Hii lazima watakuwa nayo watu wa media waliokuwa ukumbini. Na wajumbe waliokuwa wanarekodi. Watusaidie watutumie humu. Huyu jamaa ni balaa najua leo kuna mtu magogoni pale lazima apewe vidonge ili aweze kulala
 
Hahahahaha hivi kampeni ataziweza kweli
 
Hivyo vyombo vinavyo ripoti mikutano ya CCM havifanyi hivyo kwa mapenzi yao, wanatangaza kwa sababu wanamuogopa yule jamaa, na vile vile hawatangazi mikutano ya Chadema sio kwa mapenzi yao, bali sababu ni ile ile wanamuogopa yule jamaa.

Kwa kifupi CCM wanalazimishwa kupendwa kwa sababu wanajua vizuri hawapendwi.
Acha porojo wewe!
 
Back
Top Bottom