Mkutano Baraza Kuu CHADEMA: Hongera JamiiForums, Hongera Watetezi TV, Hongera Dar Mpya TV- Historia zitawakumbuka

Mkutano Baraza Kuu CHADEMA: Hongera JamiiForums, Hongera Watetezi TV, Hongera Dar Mpya TV- Historia zitawakumbuka

Hii ni kauli mbiu nzito. Tunaomba tume ya uchaguzi kote nchini pamoja na vyombo vya dola kote nchini kutenda haki. Hata hivyo kwa jinsi serikali tukufu ya Magufuli ilivyotekeleza vizuri ilani ya CCM 2015, hakuna haja ya kuwa na hofu.

Uchaguzi ni hesabu

Wajumbe oyeee
 
Nimeshangazwa kumuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu na mgombea mwenza wakijinadi mubashara kupitia matangazo yaliyolipiwa na chama kingine cha siasa.

Hii siyo sawa katika demokrasia ya kweli.

Maendeleo hayana vyama!
 
How many threads do you make a day?
 
Millard Ayo,Global TV sijui wanaogopa Eric Shigongo atakatwa?Ayo sijajua anaogopa nini.
Hukujua kwanini walifanya usajiri mpya wa vyombo vya habari na kuwapa vyeti, ilikuwa makusudi ukinyan'anywa cheti hufanyi kazi.

Na zaidi kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi watapigwa faini, kusimamishwa na kufungiwa hasa kyandika na kurusha habari za wapinzani.

Kawaone wamejazana kwenye press ya CCM kule.

Waulize Mwananchi communication.
 
Back
Top Bottom