Mkutano Baraza Kuu CHADEMA: Hongera JamiiForums, Hongera Watetezi TV, Hongera Dar Mpya TV- Historia zitawakumbuka

Naamini kabisa kama tungekuwa na Bunge linalojali maslahi ya Tanzania na Watanzania basi asingemaliza hata miaka mitatu Ikulu kwani lingempigia kura ya no confidence. Leo hii angekuwa history lakini tuna Bunge dhaifu lililoamua kuwa ni kitengo cha Ikulu.

Huyu jamaa hatakiwi kuongezewa hata wiki moja ikulu. Ni kumuondoa tu baada ya matokeo ya uchaguzi October 2020 yanakayompa ushindi Lissu.
 
Mwisho wa haya yote ni October 2020. Nguvu ya umma inaenda kuamua.
 
Reactions: BAK
Lissu tayari amechaguliwa kupeperusha bendera ya CDM 2020
 
Chadema kazi yenu ni kula ruzuku tu, hivi mmeshindwa nini kuanzisha TV zenu za chama? Ila sishangai hata ofisi moja tu mmeshindwa kujenga, halafu eti mnataka tuwape nchi, thubutuuuuu! Acheni kulialia hadi mnaboa
 

Attachments

  • 8A035E65-0853-4519-A1AE-4F99407B6EDC.jpeg
    62.9 KB · Views: 3
Sasa Rasmi TCRA wamekata live matangazo yote yanayoonesha Mkutano wa Chadema mara tu baada ya Lissu kuanza kuhutubia.

Tunaweka rekodi ya haya matukio yote na wakati sahihi ukifika lazima watu wawajibishwe kwenye makosa ya kuzuia uhuru wa kupata Habari.

Napenda kuwakumbusha TCRA kuwa Mungu yupo na Lissu, Nguvu ya umma ipo na Lissu endeleeni tu na uonevu wenu ila kumbukeni Watanzania wanashihudia yote na hukumu yenu iko njiani
 
Tusiwaamulie wenye vyombo.

Tuwape demokrasia nao. Kwako kama mkutano wa CDM ulikuwa ishu kwa wengine si ishu.

Na hivyo hivyo ulivyokuwa kwa CCM.
 
Hakika tuwashukuru JamiiForimus na mitandao mingine kwa kazi nzuri na bora waliofanya.kwa sasa ni heri kushinda JamiiForums na kwenye mitandao mingine kuliko kufuatilia media za hapa nchini kwani zimepoteza mvuto na pia zimepoteza muelekeo.

Inawezekana wanabanwa, ila nao wao ni wazi wanajiongeza kwa kujipendekeza badala ya kusimamia taalumu yao.

Anywa,yana mwisho haya.
 
Wewe haujipendekezi kwa Jamiiforums kwasababu wanarusha unachokipenda?
 
Mkuu nitafutie hotuba ya mwisho ya Lissu wakati anashukuru baada ya Nyarandu kushukuru. Wakati anaanza kutoa madini walikata Live-streaming

Mkuu bagamoyo pia naomba uiweke hotuba ya Lissu ya mwisho kushukuru wajumbe. Huyu jamaa akiongea natamani asimalize
 

3 August 2020
Dar es Salaam, Tanzania

LISSU ATAJA SIFA ZA MGOMBEA WA CHADEMA | AOMBA KURA | ATAJA USHINDI WA KIMBUNGA

 
CCM walilipia hizo media nyinyi mnashindwa nini?,hakuna vya bure
 
3 August 2020
Dar es Salaam, Tanzania

LISSU ATAJA SIFA ZA MGOMBEA WA CHADEMA | AOMBA KURA | ATAJA USHINDI WA KIMBUNGA

Mkuu acha hii ya kuomba kura za wajumbe. Kuna ya mwisho kabisa ya usiku huu ya kushukuru baada ya wajumbe kumpigia kura nyingi za ushindi. Hii ndo watanzania wengi hawajaiona maana Live streaming ilikatwa baada tu ya kuanza kuhutubia.


Tutafutie hii hotuba Mkuu maana jamaa alianza kutema madini ya hatari wakatukatia
 
Nimeitafuta sijaweza kuipata aiceeee
 
Siku hizi watu wanafuatilia habari zaidi dw,bbc na voa swahilis
 
Nimeitafuta sijaweza kuipata aiceeee
Hii lazima watakuwa nayo watu wa media waliokuwa ukumbini. Na wajumbe waliokuwa wanarekodi. Watusaidie watutumie humu. Huyu jamaa ni balaa najua leo kuna mtu magogoni pale lazima apewe vidonge ili aweze kulala
 
Hii lazima watakuwa nayo watu wa media waliokuwa ukumbini. Na wajumbe waliokuwa wanarekodi. Watusaidie watutumie humu. Huyu jamaa ni balaa najua leo kuna mtu magogoni pale lazima apewe vidonge ili aweze kulala
Hahahahaha hivi kampeni ataziweza kweli
 
Acha porojo wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…