Mkutano Baraza Kuu CHADEMA: Hongera JamiiForums, Hongera Watetezi TV, Hongera Dar Mpya TV- Historia zitawakumbuka

Acha KUJIBARAGUZA unanifahamu. Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya KUJIBARAGUZA kwa kuandika UONGO.

Unamchukia bure wakati unajua ukweli halisi kuwa ulitumia CHETI cha dada yako kupata ajira. Shukuru hata ulipata hela ya kununua smartphone na kuingia JF.
 
Mitaa gani ya Dar unazungumzia Ndugu yangu. Lissu akipata asilimia 10 ya kura nahama nchi, hata USA Marines wasimsmie uchaguzi na kuhesabu plus chadema huyo Lissu hawezi kupata asilimia 10 ya kura..mark my words..
Tukutane October ndugu. Nitakukumbusha hapo Magu wenu anaomba msaada wa vyombo vya ulinzi na usalama huku nguvu ya umma imeshasimama na Lissu alafu Mabeyo na Sirro wanachunguliwa tu na wanamaji wa kimarekani endapo wataingilia
 
Acha KUJIBARAGUZA unanifahamu. Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya KUJIBARAGUZA kwa kuandika UONGO.
Kwahiyo wewe kwa chuki yako juu yake ndo unalo la maana sana?
 
Acha KUJIBARAGUZA unanifahamu. Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya KUJIBARAGUZA kwa kuandika UONGO.
Achana nao hawa. Yanayowatokea hawaamini na Baba yao. Walitegemea uchaguzi huu washindane na kina Augustino Mrema, Prof Lipumba na John Cheyo kumbe Mungu ana mapenzi na Tanzania. Sasa wako na Lissu hawaamini, wanatamani October isifike huku wazungu nao wameshaweka darubini kwa lolote watakalofanya
 
Reactions: BAK
Mnarusha mawe sokoni?!! Hao mnaoanza kuwabagaza mtawahitaji na kuwategemea kwenye kampeni, ulizeni viongozi wenu, kwa nini hawakuja?
 
Attachments

  • 5D76E74E-4713-4C92-BBEA-A12C36B11D42.jpeg
    62.9 KB · Views: 3
Umemaliza Mkuu. Ubarikiwe sana sana sana.
 
Shukrani Mkuu

Ya CCM hawakurusha?Acha kujitia upofu kisa chuki za kisiasa!!
Kwa hiyo wewe chombo cha habari unakipenda pale kitakapo rusha za ccm na chadema?

Wakiacha kurusha kwa sababu zao ziwe za kibiashara au kiitikadi sio wazuri! What kind of ufikiriaji is hii
 
Mkono mtupu haulambwi acheni kulia lia. Chadema mtaacha lini hii tabia ya kutaka muonewe huruma katika kila kitu?
 
Tukutane October ndugu. Nitakukumbusha hapo Magu wenu anaomba msaada wa vyombo vya ulinzi na usalama huku nguvu ya umma imeshasimama na Lissu alafu Mabeyo na Sirro wanachunguliwa tu na wanamaji wa kimarekani endapo wataingilia
Very stupid comment...you are thinking of wanamaji wa kimarekani kuja kusaidia..Mimi nilichombeza hiyo ya USA Marines Kama mtego....and it is true that is what you are thinking...sijui Kama unajua nguvu ya umma maana yake...do you think Chadema wanna nguvu ya umma?
Tukutane October ndugu. Nitakukumbusha hapo Magu wenu anaomba msaada wa vyombo vya ulinzi na usalama huku nguvu ya umma imeshasimama na Lissu alafu Mabeyo na Sirro wanachunguliwa tu na wanamaji wa kimarekani endapo wataingilia
 
Yes! Ninajua na nina uhakika kuwa Chadema wana nguvu ya umma. Chadema wana support kubwa ya wananchi ambao wakiwaambia nendeni mkatupigie kura watapiga, wakiwaambia lindeni kura zenu watazilinda.

Najua mmepanga kufanya hujuma hapo October 2020 Ndo mana nawaambia sio tu nguvu ya umma itawatoa hata wafadhili wetu wamejiandaa kufuatilia hal ya kisiasa ya hapa Tanzania mwaka huu. Nadhani utakuwa umeona kitu kwenye matamko yao hasa kwenye kumpa travel ban huyo mjinga wenu makonda. Mengi yatafuata mkiendelea na ujinga wenu mwaka huu.
 
Duh...Kila la heri..
 
Duh...Kila la heri.
Tukutane October 2020. Kila kitu kimepangwa vizuri mwaka huu. Watu wametegwa kweli na watategeka. Njia ni nyeupe sana kwa Lissu mwaka huu.
 
Hivi ITV na Azam wameogopa hata kulisogelea eneo la mkutano, kweli nchi hii inahitaji ukombozi.

Tumefika pabaya mno kama taifa, taifa la watu waoga.
Kila mtu atavuna anachopanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…