Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #61
Tapeli katika maigizo. Toka lini jizi la kura likawa na unyenyekevu huo? Na Bado Kuna vyama vinaamini kwenye mikutano ya kupotezeana muda!Mgeni Rasmi anakaribishwa. Kwaheshima sana Mheshimiwa Jenista Mhagama anapiga goti.
4R ni Nini boss, au unadhani Bado watu tunapotezwa na hizo mbwembwe za kisanii?Kama utazifuatilia kwa makini 4R utakuja kugundua kuwa huu ndio wakati mwafaka wa kujenga nchi katika msingi imara.
Check hapa ndugu yangu4R ni Nini boss, au unadhani Bado watu tunapotezwa na hizo mbwembwe za kisanii?
Tukijikite katika kujenga nchi yetu???? Ni nchi gani hiyo??Ukifuatilia kwa umakini sana kuhusu 4R utagundua kuwa tupo kwenye mwanzo mpya. Sasa basi ni kujikita katika kujenga nchi yetu. Kwa kutumia falsafa ya 4R tutajenga nchi kwenye msingi imara.
Hakuna kitu kama hicho, Sheria nchi hii zinatungwa kwa Hila na genge la kiongozi aliye madarakani na wapambe wake. Hao mliowaita hapo ni Ili kuhadaa umma na Dunia kuwa mna Nia njema, lakini ki ukweli maoni yenu tayari mnayo mfukoni, na ndio Sheria itatungwa kuendana nayo, na wala sio hayo maoni ya hao mnaowapotezea muda hapo.Tunapotoa maoni tutoe maoni ambayo yataleta kutungwa kwa sheria itakayodumu kwa muda mrefu.
Mheshimiwa Jenista Mhagama. Akisisitiza kuwa maoni yote tanayotolewa yaweze kurekodiwa ili yaweze kufuatiliwa.