mistari4G
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 554
- 652
[emoji23][emoji23]Mwache Raisi wetu mzalendo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Mwache Raisi wetu mzalendo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mzalendo pale [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwache Raisi wetu mzalendo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msabwa.....Mzee wa nini?....... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Intelligence nayo inaonekana ya kikaaadaWale jamaa wanatuona the rest of Tanzanians are fools vile wakati kuna watu wanajua kila kinachoendelea ndani yao
Sent using Jamii Forums mobile app
@mistari4G ndugu yangu hawa jamaa wa usalama ndo Cmm wanaitwa Green Guard halafu walivyo matahira eti watu tunawajua kabsa halafu sasa hivi usalama wa taifaIntelligence nayo inaonekana ya kikaaada
Kila kukicha full uharo
Sijui wanajisikiaje au hawajielewi kupoteza dhamani ya malengo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
@mistari4G ndugu yangu hawa jamaa wa usalama ndo Cmm wanaitwa Green Guard halafu walivyo matahira eti watu tunawajua kabsa halafu sasa hivi usalama wa taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaa tupite kwenye miba@mistari4G ndugu yangu hawa jamaa wa usalama ndo Cmm wanaitwa Green Guard halafu walivyo matahira eti watu tunawajua kabsa halafu sasa hivi usalama wa taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaa tupite kwenye miba
Mtetezi cjui yu wapi
Wengi pumba sana na hzo kujifanya wana mafunzo maalum kumbe wengine walichaguliwa kwa umbea tuu
Ethics hazipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna best yangu ni wale die hard wa uvccm na pia ni kiongozi hapa Dar es Salaam alinipa secrets kuwa Most of today's intelligence wanatoka Ccm Green Guards pia hata wanaomaliza chuo wanachukuliwa kupewa pumba na push ups chache then wanaanza kazi.Kwa vipi mkuu?
Nafahamu wataka kuchokoza mada na kuichagiza zaidi.🙂🙂
Halafu kuna favouritism kuliko ile na Kikwete yaan ni taabu wakuuWachaa tupite kwenye miba
Mtetezi cjui yu wapi
Wengi pumba sana na hzo kujifanya wana mafunzo maalum kumbe wengine walichaguliwa kwa umbea tuu
Ethics hazipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakaushie tuendelee kuona sarakasiKuna best yangu ni wale die hard wa uvccm na pia ni kiongozi hapa Dar es Salaam alinipa secrets kuwa Most of today's intelligence wanatoka Ccm Green Guards pia hata wanaomaliza chuo wanachukuliwa kupewa pumba na push ups chache then wanaanza kazi.
Hakuna tena ile intelligence kama ya mwanzo kaka
Sent using Infinix hot 4
Maisha matamu jamani sana [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ila kumbuka imeshindwa kufanya The intended functions for the benefits of the nations. Sasa ni for the benefits of YohanaInteligensia yetu inakuwa imara siku hadi siku kwa kila Nyanja.
Si ile unaoifikiria.
Hii huitaji uchambuzi na ufatiliaji makini ndo tunaona.
Hahaha naona umeamua kuwa Paskali mkuu nasoma halafu between the lines naona kitu kingine kabisa .CAG aliulizwa kama kuna ufisadi umefanyika akajibu hapana. Wewe unataka kubishana na Raisi wetu ?
Kuhusu uwanja wa Chato kule ni nyumbani kwa kina Raisi Magufuli na huwa anaenda kupumzika, sasa ulitaka Raisi afikaje kwao ? Mbona Jakaya Kikwete alitaka kujenga bandari kule kwao Bagamoyo na hamkulalamika mnakuja kulalamika kwa Raisi Magufuli ? Halafu unajua kwamba Chato Airport utaitwa Geita Airrport, sasa unalalamika nini wakati uwanja utakuwa ni wa Geita ?
Mamlaka maana yake ni Authority or Power to act within certain jurisdiction or bounds of law. Lakini Raisi Magufuli hata akikosea ni udhaifu tu wa kibinadamu lakini jua kuwa ana nia njema sana na nchi hii, wakina Jakaya walilete kufuata Sheria lakini nchi haikufika popote pale. Kama unakumbuka alivyokuwa anamuapisha mama Anna Mghwira alisema " I give you power, and power is power, akikisumbua yoyote yule wewe mshughulikie tu kwa maslahi ya wananchi"
Mkuu demokrasia, utawala wa sheria na haki za binadamu havipo duniani, ni mbinu tu za kibepari kutaka kutukandamiza na kuiba rasilimali zetu kama walivyofanya kule Libya kwa Gaddafi na Kuwait kwa Saddam Hussein.
Mkuu Red Giant unakumbuka mabepari walichomfanyia Raisi wa Kuwait Saddam Hussein ?
Kuna best yangu ni wale die hard wa uvccm na pia ni kiongozi hapa Dar es Salaam alinipa secrets kuwa Most of today's intelligence wanatoka Ccm Green Guards pia hata wanaomaliza chuo wanachukuliwa kupewa pumba na push ups chache then wanaanza kazi.
Hakuna tena ile intelligence kama ya mwanzo kaka
Sent using Infinix hot 4